mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Nidhamu ikiwepo kwenye maisha ya mwanadamu basi huepeka matatizoLazima uchoke ili utumie kwa nidhamu
Nidhamu ikiwepo kwenye maisha ya mwanadamu basi huepeka matatizoLazima uchoke ili utumie kwa nidhamu
Matatizo hayaepukiki kwa tulio hai. M/Mungu atusaidie kila yakitutokea tuyashinde.Nidhamu ikiwepo kwenye maisha ya mwanadamu basi huepeka matatizo
Tuyashinde majaribu ya shetaniMatatizo hayaepukiki kwa tulio hai. M/Mungu atusaidie kila yakitutokea tuyashinde.
Shetani ni adui wetu wote. Nawasalimu wale wenzetu walioyokula Eid wenyeweTuyashinde majaribu ya shetani
Wenyewe wapo sehemu mbalimbali wangali bado waifurahia sikukuu yaoShetani ni adui wetu wote. Nawasalimu wale wenzetu walioyokula Eid wenyewe
Wenyewe wametulia katika ndoa yaoShetani ni adui wetu wote. Nawasalimu wale wenzetu walioyokula Eid wenyewe
Yao wew kwani unaijua? Vyote navijua mimiWenyewe wametulia katika ndoa yao
Mimi mwenyewe najua kabisa Kama wewe unavijua vyote. Mimi naibiaibia tuYao wew kwani unaijua? Vyote navijua mimi
Sentensi ziko za aina nyingi angalia hii: Walii aliwaambia walii wale wali wa wale waliiTu ni neno lililonishinda kulitungia sentensi
Walii huwezi amini mpaka sasa sijajua ni neno la lugha gani?Sentensi ziko za aina nyingi angalia hii: Walii aliwaambia walii wale wali wa wale walii
Lugha gani nzuri kati ya kingereza na kichinaWalii huwezi amini mpaka sasa sijajua ni neno la lugha gani?
Kichina pia ni lugha ya kigeni amabayo yunalazimika kuisoma kukidhi ushindani ktk soko la ajiraLugha gani nzuri kati ya kingereza na kichina
Ajira imekua ni janga la DuniaKichina pia ni lugha ya kigeni amabayo yunalazimika kuisoma kukidhi ushindani ktk soko la ajira
Dunia ni Sayari yenye uhai miongoni mwa sayari tisa zinazounda mfumo wa juaAjira imekua ni janga la Dunia
Jua huchomoza mashariki na kuzama magharibiDunia ni Sayari yenye uhai miongoni mwa sayari tisa zinazounda mfumo wa jua
Magharibi tumepakana na nchi za kindava.Jua huchomoza mashariki na kuzama magharibi
Mke mwema kutoka kwa bwana.hana budi kusubili, hadi atakapo achikaAshaolewa tena ww unamtaka wa nn?
Kindava ni kama nchi zipi??Magharibi tumepakana na nchi za kindava.
Zipi habari za kutishaKindava ni kama nchi zipi??