Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Id ni inatosha daby.Wapi hawajamaliza kula wali wa id
Id ni inatosha daby.Wapi hawajamaliza kula wali wa id
Daby kuna uzi nauleta mbele yako jukwaa la entertainment nataka useme jamboId ni inatosha daby.
Dabying is to.......... as........to.......Id ni inatosha daby.
Jambo mkuu umepoteaDaby kuna uzi nauleta mbele yako jukwaa la entertainment nataka useme jambo
Umepotea pia Boss ila ni kheri kukuona hapa mubashara..Jambo mkuu umepotea
Mubashara tena![]()
wewe hujanijibu nilichokuulizaAise wewe haujui sheria za huu mchezo. Kumbe sio msukuma basi utakuwa mmanyemaZawadi nipewe tu mimi,
Daby mimi sio msukuma aise.
Sana sana uzuri upo usoni na umbo la mtuMmanyema ni mtu mzuri sana
Mtu gani huyu mzuri usoni au sura?Sana sana uzuri upo usoni na umbo la mtu
mtu hupimwa kwa utu wake na sio kwa uzuri wa suraSana sana uzuri upo usoni na umbo la mtu
Usoni kuna macho pua na?Mtu gani huyu mzuri usoni
Pua na mdomo humaanisha ukaribu wa kimaeneoUsoni kuna macho pua na?
Kimaeneo flani hv hapa mjiniPua na mdomo humaanisha ukaribu wa kimaeneo
Mjini pazuri jamani ukilinganisha kijijiniKimaeneo flani hv hapa mjini
Kijijini maisha bei chee ilaa magumuu..Mjini pazuri jamani ukilinganisha kijijini
Magumuu sana Jembe la mkono linachokeshaKijijini maisha bei chee ilaa magumuu..
Lazima uchoke ili utumie kwa nidhamuMagumuu sana Jembe la mkono linachokesha