Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Mshindi ni mimi nyie wadogo zanguHuku pia anaruhusiwa kuja tatizo hatoweza kuwa mshindi
Mshindi ni mimi nyie wadogo zanguHuku pia anaruhusiwa kuja tatizo hatoweza kuwa mshindi
Tena wewe nakudaiDawa yao ukifika waambie unakwenda Zenji je meli inaondoka saa ngapi hapo? Hawakufuati tena
Bro hujalala tu au wewe ni Joseverest?Tena wewe nakudai
Joseverest ni mwingine bado mimi sijalala. Unajua sheria za huu mchezo mkuu?Bro hujalala tu au wewe ni Joseverest?
Mimi hata najua, nilikuwa napost kwenye uzi mwingine sasa nashangaa huku sijui nimekujaje? Au wachawi wamenileta huku?Joseverest ni mwingine bado mimi sijalala. Unajua sheria za huu mchezo mkuu?
Huku hamna wachawi. Una qoute neno la mwisho la mtoa comment. Angalia zangu utaelewa hv a good time.Mimi hata najua, nilikuwa napost kwenye uzi mwingine sasa nashangaa huku sijui nimekujaje? Au wachawi wamenileta huku?
Bro kwa heri aseeee, mambo ya huku siyaweza. Nisije nikakuharibia ushindi wakoHuku hamna wachawi. Una qoute neno la mwisho la mtoa comment. Angalia zangu utaelewa hv a good time.
Wako mtiifu katika ushindi,Bro kwa heri aseeee, mambo ya huku siyaweza. Nisije nikakuharibia ushindi wako
I see... Alot of mistakes when we compose statementCameroon ni wazuri sana kwenye mpira isee..
False or true ni sentence tulizozitumia kipindi tupo darasa la tatuStatement is either meaningful or declarative sentence which is either true or false.
Tatu ni nafasi ya mwisho kwa washindani katika ushindiFalse or true ni sentence tulizozitumia kipindi tupo darasa la tatu
Kupelekeshwa huwa tunakutaka wenyewe kwa kushindwa kufanya maamuzi yaliyo sahihi...Ushindi ni lazima 2020,tumechoka kupelekeshwa.
Sahihi kabisa, lakini kwa kiasi kikubwa kuna watu pale k/nyama wameshika "remote control" wanafanya wanavyotaka hao.Kupelekeshwa huwa tunakutaka wenyewe kwa kushindwa kufanya maamuzi yaliyo sahihi...
Hao hawazuiliki mana ndio wanaojua mengi ya nchi hii.Sahihi kabisa, lakini kwa kiasi kikubwa kuna watu pale k/nyama wameshika "remote control" wanafanya wanavyotaka hao.
Hii nchi haihitaji wanaojua mengi, tukikubali watuamlie hata watakapotupikia boko hatutahoji maana tutakuwa tumewaamini wasioaminika.Hao hawazuiliki mana ndio wanaojua mengi ya nchi hii.