Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Nyama Choma? Wakati birthday ulinidanganya nilitaka nikununulie paja la kondooTuachane nayo bana lengo lilikuwa la kwenda kwa morombo kula nyama choma..
Nyama Choma? Wakati birthday ulinidanganya nilitaka nikununulie paja la kondooTuachane nayo bana lengo lilikuwa la kwenda kwa morombo kula nyama choma..
Kondoo wangu aliliwa na fisi jana nilipokuwa machungani kule msituniNyama Choma? Wakati birthday ulinidanganya nilitaka nikununulie paja la kondoo
Msituni kuna wanyama kibao sio fisi tuKondoo wangu aliliwa na fisi jana nilipokuwa machungani kule msituni
Tuko pamoja daby. Ila siku ile hukuwa na dalili ya kuninunulia hilo paja la kondoo mana hata hukugusia.Msituni kuna wanyama kibao sio fisi tu
Sia njema ni jambo ninalopitafuta muda woteTuko pamoja daby. Ila siku ile hukuwa na dalili ya kuninunulia hilo paja la kondoo mana hata hukugusia.
Wote mnajua mshindi ni mimi sasa cha kujibiidisha kupost ni nini?Sia njema ni jambo ninalopitafuta muda wote
Ni nini hiki umepost? Ndo kusema mshindi humjui au makusudi?Wote mnajua mshindi ni mimi sasa cha kujibiidisha kupost ni nini?
wanishangilie kwa mbwembwe na vifijoMakusudi gani sasa hebu mtaje mshindi bwana kina emmyta wanishangilie
Vifijo na nderemowanishangilie kwa mbwembwe na vifijo
Nderemo zenyewe siku hizi hazipo kuna matarumbetaVifijo na nderemo
Maturumbeta nayasubiri siku nitakaposikia unaoa lakini sio kupata ushindi , huu ushindi huu ni wanguNderemo zenyewe siku hizi hazipo kuna matarumbeta
Wangu ni poa tu nikiwaona mnavyolumbana kwa jambo ambalo linadhihirisha kabisa hakuna mwingine zaidi yanguMaturumbeta nayasubiri siku nitakaposikia unaoa lakini sio kupata ushindi , huu ushindi huu ni wangu
Yangu yote nimeyaacha pm sasa nyie lumbaneni tuWangu ni poa tu nikiwaona mnavyolumbana kwa jambo ambalo linadhihirisha kabisa hakuna mwingine zaidi yangu
Tutakushangaa sana ikidhihirika kuwa wewe ni muongoYangu yote nimeyaacha pm sasa nyie lumbaneni tu
Tutufye ni majina ya kinyakiYangu yote nimeyaacha pm sasa nyie lumbaneni tu
Kukielewa ni kweli ila wewe si msukuma wewe kinyaki umekijulia wapiKinyakyusa kirais kukielewa.
Wapi hawajamaliza kula wali wa idKukielewa ni kweli ila wewe si msukuma wewe kinyaki umekijulia wapi