Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,457
Kooni tunaukaba ila tatizo hatuwi washindiTutajua mengi san mwaka huu,
Nawaona Daby na emmyta mlivyoukaba mchezo kooni
Kooni tunaukaba ila tatizo hatuwi washindiTutajua mengi san mwaka huu,
Nawaona Daby na emmyta mlivyoukaba mchezo kooni
Washindi ni sisi soteKooni tunaukaba ila tatizo hatuwi washindi
Washindi wa kombe la VPL 2016-2017 ni nani vile?Kooni tunaukaba ila tatizo hatuwi washindi
Vile nakujua mwana jangwani mwenzangu sisi ndio mabingwa tena mara tatu mfululizo hadi tumepewa lote loteWashindi wa kombe la VPL 2016-2017 ni nani vile?
Lote liuwanja lenu la matopeni limejaa majiVile nakujua mwana jangwani mwenzangu sisi ndio mabingwa tena mara tatu mfululizo hadi tumepewa lote lote
Maji! aaaah wap hayo ni majungu yenu wa mchanganiLote liuwanja lenu la matopeni limejaa maji
Mchangani kuna vumbi hatari!Maji! aaaah wap hayo ni majungu yenu wa mchangani
Hatarisha maisha yako kwa kuwa na mchepuko bila kingaMchangani kuna vumbi hatari!
Kinga ni bora kuliko kutibuHatarisha maisha yako kwa kuwa na mchepuko bila kinga
Kutibu nimuhimu, maradhi yanauaKinga ni bora kuliko kutibu
Yanaua sana lakini hayazidi mapenziKutibu nimuhimu, maradhi yanaua
Mapenzi ni kikohozi kuyaficha huweziYanaua sana lakini hayazidi mapenzi
Huwezi wewe mi nawezaMapenzi ni kikohozi kuyaficha huwezi
Naweza kwa kusema tatizo kutendaHuwezi wewe mi naweza
Kutenda na kutendwa ni sehemu ya maishaNaweza kwa kusema tatizo kutenda
Maisha ni matamu lakini mafupiKutenda na kutendwa ni sehemu ya maisha
Mafupi na mapana huwezi kuyachanaMaisha ni matamu lakini mafupi
Kuyachana nini hayoMafupi na mapana huwezi kuyachana
Hayo ni makaribisho ya kukupokea utokako emmyta,naomba unijuze umeamkaje?Kuyachana nini hayo
Umeamkaje mtebetini. Mi sijambo bukheri wa afya.Hayo ni makaribisho ya kukupokea utokako emmyta,naomba unijuze umeamkaje?