Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,709
Mwanamke wa kwanza duniani ni Hawa...Usaliti alianzisha shetani kwa kumlaghai mwanamke
Mwanamke wa kwanza duniani ni Hawa...Usaliti alianzisha shetani kwa kumlaghai mwanamke
Hawa watu siwaelewi kabisa, ebu zungumzeni lugha rahisi bana.Mwanamke wa kwanza duniani ni Hawa...
Bana nikuambie kitu?Hawa watu siwaelewi kabisa, ebu zungumzeni lugha rahisi bana.
Kitu gani hicho mwambie basi na sisi tusikieBana nikuambie kitu?
Tusikie kila tunaloambiwa na wakubwaKitu gani hicho we mwambie basi na sisi tusikie
Wakubwa wenyewe siku hizi hawaeleweki mana hawana tofauti na wadogo zaoTusikie kila tunaloambiwa na wakubwa
Zao la korosho limeshuka bei mwaka huuWakubwa wenyewe siku hizi hawaeleweki mana hawana tofauti na wadogo zao
Huu ndio mwezi niliozaliwa mimiZao la korosho limeshuka bei mwaka huu
Mimi nilikuwepo wakati unazaliwa ujueHuu ndio mwezi niliozaliwa mimi
Ujue daby unapenda sana kujipa ukubwa.Mimi nilikuwepo wakati unazaliwa ujue
Ukubwa wangu sio wa nchi hii emmyUjue daby unapenda sana kujipa ukubwa.
Emmy mwenyewe pia mkubwa kama hujui. Humfikii hata kidogo...Ukubwa wangu sio wa nchi hii emmy
Kidogo umeongea pointi. Eeh ukubwa wako unafikia wapi na kuishia wapiEmmy mwenyewe pia mkubwa kama hujui. Humfikii hata kidogo...
Wapi najua mwenyewe ulipoanzia na kuishiaKidogo umeongea pointi. Eeh ukubwa wako unafikia wapi na kuishia wapi
Kilichobaki ni wewe kuamini ninachokwambia...Ninachokuambia ni hivi wewe mdogo wangu kama hautaki anika cheti hapaWapi najua mwenyewe ulipoanzia na kuishia![]()
Kilichobaki ni wewe kuamini ninachokwambia...
Hapa nikianika cheti hutapakaa kaka masaiNinachokuambia ni hivi wewe mdogo wangu kama hautaki anika cheti hapa
Itakuwa hata niko jukwaa lingine huku wewe unatoa shikamoo....Shikamoo kwa kuongopea ummaHapa nikianika cheti hutapakaa kaka masai![]()
Itakuwa hata niko jukwaa lingine huku wewe unatoa shikamoo....
Umma unaongopewaje sasa. Hahaaa. Unapenda uzee wewe khaa. Ipo siku itajulikana tu.Shikamoo kwa kuongopea umma
Itajulikana tu pale utakapo weka hivyo vyeti jukwaaniUmma unaongopewaje sasa. Hahaaa. Unapenda uzee wewe khaa. Ipo siku itajulikana tu.
Tutajua mengi sana mwaka huu,Umma unaongopewaje sasa. Hahaaa. Unapenda uzee wewe khaa. Ipo siku itajulikana tu.