Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mimi nawatakia wana jf woooote Ramadhan Maqbool na Iddi Mubarak, inshallah
In Shaa Allah thatsit, kwanza nazipokea salamu zako adimu,nami nazirudisha kwenu wanaukumbi,kheri na Baraka za Mola karema mzipate kwa wingi , pamoja na ibada tulizofanyatupate malipo mema kwa kadri apendavyo Subhana mwingi wa huruma
 
Back
Top Bottom