mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Afya yangu namshukuru Mwenyezi Mungu amenijalia kheri kumekucha salama Alhamdulillahi hofu kwakoUmeamkaje mtebetini. Mi sijambo bukheri wa afya.
Afya yangu namshukuru Mwenyezi Mungu amenijalia kheri kumekucha salama Alhamdulillahi hofu kwakoUmeamkaje mtebetini. Mi sijambo bukheri wa afya.
Kwako kama kwangu tu. Hivi wengine wako wapi naona leo kimya...Afya yangu namshukuru Mwenyezi Mungu amenijalia kheri kumekucha salama Alhamdulillahi hofu kwako
Kimya kingi kina mshindo leo ni siku ya mapumziko na ibada pengine wenzetu wapo kwenye ibada au wamepumzikaKwako kama kwangu tu. Hivi wengine wako wapi naona leo kimya...
Wamepumzika muda mrefu daah. Hongera zaoKimya kingi kina mshindo leo ni siku ya mapumziko na ibada pengine wenzetu wapo kwenye ibada au wamepumzika
zao la upendo hustawi zaidi pale mnapojuliana hali, hujambo emmyta?...Wamepumzika muda mrefu daah. Hongera zao
Emmyta nasikia unaitwazao la upendo hustawi zaidi pale mnapojuliana hali, hujambo emmyta?...
Shenzii wengi hutumia pale povu linapo watokaUnaitwa muda wote kazi kujamba tu....shenziii
watoka shamba utawajua tu...Shenzii wengi hutumia pale povu linapo watoka
Tunawajua sana ila tunawakaushia tuwatoka shamba utawajua tu...
Mwenge wa uhuru upo mkoa gani sahv?Tunawakaushia tu wale wote walioletwa na misafara ya mwenge
Baridi huongeza hamu ya kwichikwichiKusini nyanda za juu, tabia ya nchi ni ya baridi
Kwichikwichi ni neno ambalo sio fasaha kwenye kiswahiliBaridi huongeza hamu ya kwichikwichi
Kiswahili sio lazima kitumike kwa ufasaha kila saa, isipokuwa sehemu rasmi tu.Kwichikwichi ni neno ambalo sio fasaha kwenye kiswahili
Wapi hamjaelewana? Nahisi harufu ya sintofahamu hapa, kulikoni wapenzi wa mchezo maridadi kama huu mnaanza kupigana mabuti badala ya kuonesha umahiri wa kutwaa ubingwa!Tulia basi mkuu twende taratibu. Hiyo sehemu rasmi ni kama wapi...
Ubingwa kupatikana bado kwa sasa.Wapi hamjaelewana? Nahisi harufu ya sintofahamu hapa, kulikoni wapenzi wa mchezo maridadi kama huu mnaanza kupigana mabuti badala ya kuonesha umahiri wa kutwaa ubingwa!
Kwa sasa kiswahili kinaweza kutumika ktk nyanja zote za kielimu. Imeaminika kuwa ni lugha namba mbili inayozungumzwa zaidi AfrikaUbingwa kupatikana bado kwa sasa.
Afrika ni bara langu sina budi kujivuniaKwa sasa kiswahili kinaweza kutumika ktk nyanja zote za kielimu. Imeaminika kuwa ni lugha namba mbili inayozungumzwa zaidi Afrika
Kujivunia inakubidi hasa ukiwa mwafrika mzalendo,Afrika ni bara langu sina budi kujivunia