Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Tafrija ile ya kumpongeza mkulu?Jamno jema linapaswa kufanywa na sie wote, tuko pamoja kaka, uko tayari kwa tafrija?
Tafrija ile ya kumpongeza mkulu?Jamno jema linapaswa kufanywa na sie wote, tuko pamoja kaka, uko tayari kwa tafrija?
Mkulu wapi bwana, ni sisi kukaa chini kula kunywa na kutafakari mawili matatu, ni kupanga tu wapi tukutane. Mimi na shem wangu mamaafacebook II wala hatuna shida tutakuwepoTafrija ile ya kumpongeza mkulu?
Tutakuwepo wote, lakini mimi sina shemu ebu fanya namna ili mambo yaweza kuwa mazuri zaidiMkulu wapi bwana, ni sisi kukaa chini kula kunywa na kutafakari mawili matatu, ni kupanga tu wapi tukutane. Mimi na shem wangu mamaafacebook II wala hatuna shida tutakuwepo
Zaidi ya yote. Tunamshukuru allah kwa kutuamsha salama.Tena ambaye sio wa karibu yangu kama emmyta ndio itakuwa murua zaidi
Salama bila kumlipa chochote... Emmyta shikamoZaidi ya yote. Tunamshukuru allah kwa kutuamsha salama.
Shikamoo inaendana na marahaba. Nimeipokea salamu yako mdogo wangu. Kumlipa chochote sana sana ni kufanya ibada na kumshukuru kwa yote.Salama bila kumlipa chochote... Emmyta shikamo
Salama kabisaa... Nimeamka toka muda sanaaa... Ila Sasa Nataka nilaleShikamoo inaendana na marahaba. Nimeipokea salamu yako mdogo wangu. Kumlipa chochote sana sana ni kufanya ibada na kumshukuru kwa yote.
Vp lakini umeamka salama?
Nilale, ila mimi bado kulala hapa labda kwenye saa nne hivi mana saa hizi ni za kufanya kazi ndogo ndogo za nyumbani.Salama kabisaa... Nimeamka toka muda sanaaa... Ila Sasa Nataka nilale
Nyumbani kufanya kazi... Ni Muhimu... Ila kwa Sasa cna majukumu...Nilale halafu nitaamka saa ngapi. Mimi bado kulala hapa labda kwenye saa nne hivi mana saa hizi ni za kufanya kazi ndogo ndogo za nyumbani.
Majukumu mazuri sana ila mpaka muda haswa ufike ndio utaona uzuri wa majukumu. Hivyo kalale tu mdogo wanguNyumbani kufanya kazi... Ni Muhimu... Ila kwa Sasa cna majukumu...
Wangu Emmyta Nashukuru Sanaa.. Asubuhi NjemaMajukumu mazuri sana ila mpaka muda haswa ufike ndio utaona uzuri wa majukumu. Hivyo kalale tu mdogo wangu
Njema na kwako pia.Wangu Emmyta Nashukuru Sanaa.. Asubuhi Njema
Pia mimi nimeamka salama. Hofu kwenu ninyi mliopo sehemu mbalimbali ya nchi yetuNjema na kwako pia.
Yetu nchi ina amani. Na sisi hatujambo pia tunamshukuru allah uzima upo.Pia mimi nimeamka salama. Hofu kwenu ninyi mliopo sehemu mbalimbali ya nchi yetu
Upo wapi Zakumi?Yetu nchi ina amani. Na sisi hatujambo pia tunamshukuru allah uzima upo.
2017 ni namba kwa tarakimuMchezo huu utatimiza Miaka Tano Tarehe 29/06/2017