gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Sema su watokee hapaTunatamba wawili tu, wengine washashikwa na jembe lao usingizi.
Hadi yule jamaa mwenye Manic disorder mbele ya nusu kufanya ni kwishinei
Sema su watokee hapaTunatamba wawili tu, wengine washashikwa na jembe lao usingizi.
Hadi yule jamaa mwenye Manic disorder mbele ya nusu kufanya ni kwishinei
Kwishnei kaibuka kama JINITunatamba wawili tu, wengine washashikwa na jembe lao usingizi.
Hadi yule jamaa mwenye Manic disorder mbele ya nusu kufanya ni kwishinei

Hapa ndiyo kwetu tunatamba mpaka aliyambaSema su watokee hapa
Me nawakimbia usiku mwemaHapa ndiyo kwetu tunatamba mpaka aliyamba
EtiiiALAFU TABIA YENU YA KUTAMBA MTEMI WENU NIKIONDOKA MUACHE MARA MOJA.
Usiku mwema gbefa lala unonoMe nawakimbia usiku mwema
Ahsante wakuuUsiku mwema gbefa lala unono
Wakuu tupo pamoja tukijaliwa kuamka salama tuwasilianeAhsante wakuu
Tuwasiliane basi kumeshapambazuka. Hahaaaa. Kwema humu...Wakuu tupo pamoja tukijaliwa kuamka salama tuwasiliane
Humu salama kabisa tunamshukuru Mungu kwa kutuamsha salamaTuwasiliane basi kumeshapambazuka. Hahaaaa. Kwema humu...
Salama salmini na kwangu pia.Humu salama kabisa tunamshukuru Mungu kwa kutuamsha salama
Hâta kama umejinyea lazima utawazeKifua cha emmyta sikujui hata
Kwangu pia kumekucha salama namshukuru Mwenyezi MunguSalama salmini na kwangu pia.
Mwenyezi Mungu ndiye muweza wa yote hivyo hatuna budi kumshukuru kwa kila jambo.Kwangu pia kumekucha salama namshukuru Mwenyezi Mungu
Jambo lolote la kuonekana kwenye jamii kabla ya kulifanya tafakariMwenyezi Mungu ndiye muweza wa yote hivyo hatuna budi kumshukuru kwa kila jambo.
Tafakari ni bora sana mana huwa inafanya kufanya maamuzi yaliyo sahihiJambo lolote la kuonekana kwenye jamii kabla ya kulifanya tafakari
Sahihi ni umakini utakao kuepusha kufanya makosaTafakari ni bora sana mana huwa inafanya kufanya maamuzi yaliyo sahihi