halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,101
- 5,266
Habari zaid utaipata jukwaa la michezoYameshinda lini mbona sina habari..
Habari zaid utaipata jukwaa la michezoYameshinda lini mbona sina habari..
Mitamu mipango mkakati aliyoshauri Mwifwa mambo yanaendelea bila bugdhaMichezo mitamu
Bughdha kuna watu wanaiweza aiseeMitamu mipango mkakati iliyoshauri Mwifwa mambo yanaendelea bila bugdha
Aisee "akili ni nywele kila mtu ana zake“Bughdha kuna watu wanaiweza aisee
Zake zimeenda likizoAisee "akili ni nywele kila mtu ana zake“
Likizo ni muda wa mapumziko baada ya kufanya kazi kwa muda maalumu, pia kuna aina nyingine ya mapumziko ambayo unaweza kupewa hata kama wewe hujaridhiaZake zimeenda likizo
Hujaridhia kwa kutengwa na jamii jirekebishe tabiaLikizo ni muda wa mapumziko baada ya kufanya kazi kwa muda maalumu, pia kuna aina nyingine ya mapumziko ambayo unaweza kupewa hata kama wewe hujaridhia
Tabia ni matokeo ya mazoea mabaya mtu aliyojijengea kutokana na kiburi alichonachoHujaridhia kwa kutengwa na jamii jirekebishe tabia
Hujaridhia kwa kutengwa na jamii jirekebishe tabia
Alichonacho ndiyo alichopanda na atavuna alichopandaTabia ni matokeo ya mazoea mabaya mtu aliyojijengea kutokana na kiburi alichonacho
Alichopanda ndio atakivuna na hayo ndio matokeo ya juhudi zakeAlichonacho ndiyo alichopanda na atavuna alichopanda
Juhudi zake naona zimegonga MWAMBAAlichopanda ndio atakivuna na hayo ndio matokeo ya juhudi zake
Mwamba geu ni mmojawapo wa aina za miambaJuhudi zake naona zimegonga MWAMBA
Miamba tupo macho usiku wa manane bado tunatambaMwamba geu ni mmojawapo wa aina za miamba
Tunatamba wawili tu, wengine washashikwa na jembe lao usingizi.Miamba tupo macho usiku wa manane bado tunatamba