Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ligi bado ipo ila kuna mvurugaji mmoja huyo huwa akiingia kazi yake kutoa maneno machafu. Ila dawa yake tumeshaipata huwa tunamuangalia tu na kuachana naye
Naye atakuwa hana tofauti na nzi. Ila ndivyo tulivyo binadamu, wengine wamejiumba kuwa washenzi.
Huyo ni wa kuachana naye hakika.
 
Bovu gurudumu litaisumbua sana nchi yetu. Gari inavuta mtaroni, tatizo linajulikana, lakini dereva analaumu abiria wake.
Wake ule ujinga, hautamuacha salama.
Nimefurahi sana kuona mpambano unaendelea vizuri kwa vionja kemkem, sasa na mimi najipanga upya maana nimegundua kiwango changu hakiwezi kutwaa huu ubingwa nisipofanya mabadiliko ya kutosha
 
Back
Top Bottom