Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,457
There ndio nini sasa, mimi mwenzenu sina dictionary mjueGo there
There ndio nini sasa, mimi mwenzenu sina dictionary mjueGo there
Dikteta uchwaraMjue Magufuli Ni Dikteta
Baya linapotafsiriwa kinyume chakeUchwara si neno Baya
Kinyume chake ni uchochezi mimi simoooBaya linapotafsiriwa kinyume chake
Simooo kwenye msafara wa kenge wanaoburuzwa na mamba anayejifanya Mungu mtu.Kinyume chake ni uchochezi mimi simooo
Mtu huyo mlijua tabia zake ni za mungu mtu mkampa mamlaka acha tusome wote nambaSimooo kwenye msafara wa kenge wanaoburuzwa na mamba anayejifanya Mungu mtu.
Namba inasomeka aisee na hakuna jinsiMtu huyo mlijua tabia zake ni za mungu mtu mkampa mamlaka acha tusome wote namba
Jinsi ipo shost sanduku la kura 2020Namba inasomeka aisee na hakuna jinsi
2020 ikifika ni wachache wenye kufanya maamuzi kutokana na utendaji kazi wa mtu walio wengi wanapiga kura kutokana na vitenge na madera ya bureJinsi ipo shost sanduku la kura 2020
2020 kwa kirumi inaandikwaje?Jinsi ipo shost sanduku la kura 2020
Inaandikwaje awamu hii kwenye vyombo vyetu vya habari?2020 kwa kirumi inaandikwaje?
Habari ni habari tu hata kama haimhusu mtu maarufuInaandikwaje awamu hii kwenye vyombo vyetu vya habari?
Maarufu sana huu mchezo japokuwa huwa mnaukimbia pasi sababuHabari ni habari tu hata kama haimhusu mtu maarufu
Sababu za umasikini wetu Tanzania zimesababishwa na ccmMaarufu sana huu mchezo japokuwa huwa mnaukimbia pasi sababu
CCM wanalijua hilo ila ndio hivyo siku zote madaraka ni matamuSababu za umasikini wetu Tanzania zimesababishwa na ccm
Matamu makande ya naziCCM wanalijua hilo ila ndio hivyo siku zote madaraka ni matamu
Nazi ni zao lilimwalo agharabu maeneo ya ukanda wa pwani, mathalani Tanga, Mtwara, Lindi, na hata Kibiti RepublicMatamu makande ya nazi
Republic of CongoNazi ni zao lilimwalo agharabu maeneo ya ukanda wa pwani, mathalani Tanga, Mtwara, Lindi, na hata Kibiti Republic