mzado
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 1,023
- 1,534
Wetu wakwetuMwadela mpola ndio kinyamwezi.![]()
. Tusiongee bana tutauharibu uzi wetu.
Wetu wakwetuMwadela mpola ndio kinyamwezi.![]()
. Tusiongee bana tutauharibu uzi wetu.
Wakwetu ndio hao wanaondoka kwenda nyumbaniWetu wakwetu
Nyumbani ni nyumbani hata kama ni kichakani...Wakwetu ndio hao wanaondoka kwenda nyumbani
Kichakani ndio wapi mana siku hizi hakuna vichaka. Hujambo gbefa mdogo wangu sikuoni unajifichia wapi lakini..Nyumbani ni nyumbani hata kama ni kichakani...
Lakini dada Mimi nipo naisi huwa tunapishana bila kujua.. Mzima lakini huko!?Kichakani ndio wapi mana siku hizi hakuna vichaka. Hujambo gbefa mdogo wangu sikuoni unajifichia wapi lakini..
Huko sijajua ila mi kwangu mzima kabisa. Uwe unakuja kuja huku mdogo wanguLakini dada Mimi nipo naisi huwa tunapishana bila kujua.. Mzima lakini huko!?
Wangu kwani wewe upo wapi tuanzie hapo kwanzaHuko sijajua ila mi kwangu mimi mzima kabisa. Uwe unakuja kuja huku mdogo wangu
wangu angekuwemo JF na mimi ningejidai...Huko sijajua ila mi kwangu mzima kabisa. Uwe unakuja kuja huku mdogo wangu
kwanza wewe gbefa usiendelee kuchangia, mimi ndio wa mwisho...Wangu kwani wewe upo wapi tuanzie hapo kwanza
Kwanza we gbefa wewee yaani unataka kila mtu ajue wapi nipoWangu kwani wewe upo wapi tuanzie hapo kwanza
Nipo hapa, aaaah okay nitakuja kule usinichunie sasa mpendwaKwanza we gbefa wewee yaani unataka kila mtu ajue wapi nipo
Mpendwa ndio mtu wa aina gani kwaniNipo hapa, aaaah okay nitakuja kule usinichunie sasa mpendwa
Kwani wewe mtoto jamani hadi uulize hivyo unajua mkubwa afundishwi enheee... Kule Jkt ilikuwa ni General never wrong....Mpendwa ndio mtu wa aina gani kwani
Wrong ndio vibaya kwa kiswahiliKwani wewe mtoto jamani hadi uulize hivyo unajua mkubwa afundishwi enheee... Kule Jkt ilikuwa ni General never wrong....
Kiswahili ndio lugha ya taifaWrong ndio vibaya kwa kiswahili
Taifa la kusadikikaKiswahili ndio lugha ya taifa
Kusadikika ni kufikirika jamani au!?Taifa la kusadikika
taifa la vi-wonder au viwanda?...Kiswahili ndio lugha ya taifa
Viwanda vya SIDO siku hizi vimeadimika, sijui tatizo ninitaifa la vi-wonder au viwanda?...
Nini unataka mwifwa kama ni viwanda vimeshakufa siku nyingi yamebaki majinaViwanda vya SIDO siku hizi vimeadimika, sijui tatizo nini