gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Wangu hata naelewa basi nahukumiwa huku kosa silitambui kwa kweliBasi niambie nini shida mdogo wangu
Wangu hata naelewa basi nahukumiwa huku kosa silitambui kwa kweliBasi niambie nini shida mdogo wangu
Inaua ila wenye kujua hilo ni wachacheBure inaua
Bure aina gharamaBasi pole mana kakuumiza asubuhi asubuhi hivi. Msamehe bure
Kwa kweli nimeumia sanaWangu hata naelewa basi nahukumiwa huku kosa silitambui kwa kweli
Gharama za kudanganya ni kubwa sana.Bure aina gharama
Nimeumia sana piaKwa kweli nimeumia sana
Sana na hailipikiGharama za kudanganya ni kubwa sana.
Kubwa sana ndio maana una...Gharama za kudanganya ni kubwa sana.
Hailipiki kwa sababu ni gharamaSana na hailipiki
Pia nakupa poleNimeumia sana pia
Gharama haina kipimoHailipiki kwa sababu ni gharama
Pole pekee haimtoshi my wi ujuePia nakupa pole
Hujue wewe ndio unajua kinachotoshaPole pekee haimtoshi my wi ujue
Ujue sipendi watu wanaowanyanyasa wengine pasi sababuPole pekee haimtoshi my wi ujue
Sababu iliyonifanya niondoke naijua mwenyeweUjue sipendi watu wanaowanyanyasa wengine pasi sababu
Mwenyewe naondokaSababu iliyonifanya niondoke naijua mwenyewe
Naondoka hata mimi piaMwenyewe naondoka
Pia mkirudi msisahau kuniita sa na mm naondokaNaondoka hata mimi pia
Naondoka na msinitafute tenaPia mkirudi msisahau kuniita sa na mm naondoka
Tena hadi wewe mi nimesharudi basi na wewe nenda ukirudi niiteNaondoka na msinitafute tena