Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Siri kubwa imetanda kwenye sheria za mikataba mbalimbali kwenye nchi yetuArdhi inanyingi siri
Siri kubwa imetanda kwenye sheria za mikataba mbalimbali kwenye nchi yetuArdhi inanyingi siri
Yetu macho sheria mwachie bwana yuleSiri kubwa imetanda kwenye sheria za mikataba mbalimbali kwenye nchi yetu
Yule hawezi peke yake, lazima asaidiweYetu macho sheria mwachie bwana yule
Asaidiwe kweli napia ashaurike ktk hili na mengineYule hawezi peke yake, lazima asaidiwe
Mengine yatafuata baada ya hili kukamilika.Asaidiwe kweli napia ashaurike ktk hili na mengine
Unaruhusu nilale saiviKukamilika litachukua muda, soo sivizuri mengine yakisubirishwa na muda unaruhusu
Unaruhusu adui yako apumue sidhani kama utatatua tatizoKukamilika litachukua muda, soo sivizuri mengine yakisubirishwa na muda unaruhusu
Noti za makinikiaTatizo noti
Makinikia [HASHTAG]#one[/HASHTAG] trending issueNoti za makinikia
Issue ni kulala, wish u gud nightMakinikia [HASHTAG]#one[/HASHTAG] trending issue
NightIssue ni kulala, wish u gud night
is finally gonna end soon..... Mmeamkaje humuHumu kumeamka shwari kwa upande wangu pia nimeamka salama sijui huko kwako.Nightis finally gonna end soon..... Mmeamkaje humu
Kwako kama kwangu mimi mzima wa afya hofu na mashaka juu yako.Humu kumeamka shwari kwa upande wangu pia nimeamka salama sijui huko kwako.
Yako afya nimeitambua, huna budi kuitambua na yangu.Kwako kama kwangu mimi mzima wa afya hofu na mashaka juu yako.
Duniani kuna mengi Mwifwa we acha tu.Yako afya nimeitambua, huna budi kuitambua na yangu.
Mimi namshukuru Muumba mlezi amenitunuku neema ya pumzi bila malipo, sasa ni jukumu langu kumtii jinsi alivyoamrisha ili niweze kupata neema nyingine zaidi hapa Duniani
Wewe pia mzima?Duniani kuna mengi Mwifwa we acha tu.
Mzima wewe?
Afya yangu ni nzuri kabisa.Wewe pia mzima?
Mimi ni mzima wa afya