mzado
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 1,023
- 1,534
Wewe ni mzima, Mwifwa ni mzima nashukuru Mungu mm pia ni mzima na natumai wengine wote wazimaDuniani kuna mengi Mwifwa we acha tu.
Mzima wewe?
Wewe ni mzima, Mwifwa ni mzima nashukuru Mungu mm pia ni mzima na natumai wengine wote wazimaDuniani kuna mengi Mwifwa we acha tu.
Mzima wewe?
Kabisa leo nimechelewa kwenye ujenzi wa Taifa la MakinikiaAfya yangu ni nzuri kabisa.
Makinikia ndio ule mchanga. Wahi best ukalijenge Taifa hakuna jinsi.Kabisa leo nimechelewa kwenye ujenzi wa Taifa la Makinikia
Jinsi sivai leoMakinikia ndio ule mchanga. Wahi best ukalijenge Taifa hakuna jinsi.
Leo mi pia nitaenda msiniache jamaniJinsi sivai leo
Jamani, wa mwisho hajapatikana tu? Kausheni basi ili mimi niwe mshindiLeo mi pia nitaenda msiniache jamani
Mshindi sabuni bora ya kipandeJamani, wa mwisho hajapatikana tu? Kausheni basi ili mimi niwe mshindi
Kipande kwa sasa ni shilingi mia tanoMshindi sabuni bora ya kipande
Tano nguo utazifua kwa haraka kama si mvivuKipande kwa sasa ni shilingi mia tano
Mvivu wewe mzado nguo tano pekeeTano nguo utazifua kwa haraka kama si mvivu
Pekee-angu zinanitosha kufua kuna boaMvivu wewe mzado nguo tano pekee
Boa ni moja kati ya benki zilizopo TanzaniaPekee-angu zinanitosha kufua kuna boa
Tanzania ya viwandaBoa ni moja kati ya benki zilizopo Tanzania
Tanzania ni jina lililotokana na muunganiko wa majina mawili( Tanganyika na Zanzibar)Boa ni moja kati ya benki zilizopo Tanzania
Viwanda vyenyewe hata sivioni sijui ndio vipiTanzania ya viwanda
Vipimo vya umbali kutoka hapa hadi kwa mkulu ni sentimita ngapi?Viwanda vyenyewe hata sivioni sijui ndio vipi
Vipi au V I P kinyamweziViwanda vyenyewe hata sivioni sijui ndio vipi
Kinyamwezi nakijua tuzungumze basiVipi au V I P kinyamwezi
Basi nasema mwadela mpola..Kinyamwezi nakijua tuzungumze basi
Mwadela mpola ndio kinyamwezi.Basi nasema mwadela mpola..
. Tusiongee bana tutauharibu uzi wetu.