Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Tutakuita baadae usijaliBhana mm napita tu.
Tutakuita baadae usijaliBhana mm napita tu.
Usijali honey mimi nakupendaTutakuita baadae usijali
usijali hata usipoitwa...Tutakuita baadae usijali
Nakupenda huwa haina jinsia ee. Au mi sijuiUsijali honey mimi nakupenda
Sijui kilichonifanya kuandika hivyo ujueNakupenda huwa haina jinsia ee. Au mi sijui
Ujue wewe Daby na emmyta nawaona mnavyonijadiliSijui kilichonifanya kuandika hivyo ujue
Mnavyonijadili mimi niliyeamka vibaya na jf siku ya leoUjue wewe Daby na emmyta nawaona mnavyonijadili
Leo kulikuwa kumepoza sana kwa kutokuwepo weweMnavyonijadili mimi niliyeamka vibaya na jf siku ya leo
Wewe mwifwa ujue sina hata hamuLeo kulikuwa kumepoza sana kwa kutokuwepo wewe
Hamu ikosekane tena na hii baridi?Wewe mwifwa ujue sina hata hamu
Baridi imetokana na mabadiliko ya hali ya hewaHamu ikosekane tena na hii baridi?
hali ya hewa leo hairidhishi kabisa sijui kutanyeshaBaridi imetokana na mabadiliko ya hali ya hewa
Hewa nzuri ww pungaBaridi imetokana na mabadiliko ya hali ya hewa
Punga upepo mwanana kwenye ufukwe wa bahariHewa nzuri ww punga
Bahari tena usiku wote huuPunga upepo mwanana kwenye ufukwe wa bahari
Huu ndio ubingwa wangu rasmi wakuu naombeni Zawadi yanguBahari tena usiku wote huu
Huu mchezo hauhitaji hasira, ni bora kufuata vigezo na mashartiBahari tena usiku wote huu
Huu ndio muda sahii sasa, usiogopeBahari tena usiku wote huu
Huu ndio muda sahii sasa, usiogope
Ardhi inanyingi siriUsiogope chochote kwenye mgongo wa ardhi