muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,542
- 3,587
Makini? Mkuu ukisema "makini" unanishtua nadhani umesema "makinikia" yetu yamepotea!Mtu anaeza wakilisha watz wengi kama akisimamiwa na sheria makini, yep zilizo tungwa na watu makini
Makini? Mkuu ukisema "makini" unanishtua nadhani umesema "makinikia" yetu yamepotea!Mtu anaeza wakilisha watz wengi kama akisimamiwa na sheria makini, yep zilizo tungwa na watu makini
Makini ni jambo ambalo linahitaji kusisitizwa kwa tunaowapa mamlaka ili waweze kufanya maamuzi yenye tija.Mtu anaeza wakilisha watz wengi kama akisimamiwa na sheria makini, yep zilizo tungwa na watu makini
Yamepotea! au yamepotezwaMakini? Mkuu ukisema "makini" unanishtua nadhani umesema "makinikia" yetu yamepotea!
Yamepotezwa na nani? Anaweza kulimia meno?Yamepotea! au yamepotezwa
Meno yangu meeupe!Yamepotezwa na nani? Anaweza kulimia meno?
Meeupe yanapendezagaMeno yangu meeupe!
Yanapendezaga yakipandwaMeeupe yanapendezaga
Yakipandwa kwa utaratibuYanapendezaga yakipandwa
Mtanzania sijui karogwa na nani..? aliuliza mkuluUtaratibu kufuata ni shida kwa Mtanzania
Nimemahanika sana Leo kwa tabia yangu ya kupenda kufuturu pekeyanguLeo nimemakinika
mkulu hotel mbeya ndipo nilipofikia msishtua babieeMtanzania sijui karogwa na nani..? aliuliza mkulu
Peke yangu nimebaki ktk uzi huuNimemahanika sana Leo kwa tabia yangu ya kupenda kufuturu pekeyangu
Huu ni usiku sana watu wamelalaPeke yangu nimebaki ktk uzi huu
Wamelala fofofo waangalie wasipitiwe muda wa dakuHuu ni usiku sana watu wamelala
Daku mimi nimemaliza kula sasa hiviWamelala fofofo waangalie wasipitiwe muda wa daku
Hivi ndivyo nnavyo amkaDaku mimi nimemaliza kula sasa hivi

AmkaHivi ndivyo nnavyo amka![]()
. Hivyo umelala nayo hiyo miwani.Miwani ya kusaidia kuona mbali au karibu!Amka. Hivyo umelala nayo hiyo miwani.
Miwani ya kusaidia kuona mbali au karibu!