Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,106
- 122,492
Kikwazo kikubwa ni washiriki kuwa wengiUshindi wangu hauna kikwazo
Kikwazo kikubwa ni washiriki kuwa wengiUshindi wangu hauna kikwazo
Wengi wao wanakuja kwa lengo la kuvuruga mchezoKikwazo kikubwa ni washiriki kuwa wengi
Wengi walikuwepo lakini sasa hawapo...naomba nitangaze ushindi wa awaliKikwazo kikubwa ni washiriki kuwa wengi
Awali ya yote Mwenyekiti anazo taarifa za ushindi wakoWengi walikuwepo lakini sasa hawapo...naomba nitangaze ushindi wa awali
awali awali tuu hakuna awali mbovu... alisikika mke akijitapa kwa mchepuko wa mume wakeWengi walikuwepo lakini sasa hawapo...naomba nitangaze ushindi wa awali
Mume wake akitoka naye katokaawali awali tuu hakuna awali mbovu... alisikika mke akijitapa kwa mchepuko wa mume wake
Katoka kuftariMume wake akitoka naye katoka
Kuftari mahotelini hakunogiKatoka kuftari
Hakunogi ukiwa peke yako, ila ukiwa na mwenzako raha sanaKuftari mahotelini hakunogi
Hakunogi ndiyo lakini Muda mwingine hatufanyii kunoga bali ni kukidhi tu mahitajioKuftari mahotelini hakunogi
Mahitajio wakati mwingine yakulazimisha kuftari sehemu kama hizo!Hakunogi ndiyo lakini Muda mwingine hatufanyii kunoga bali ni kukidhi tu mahitajio
Mahitajio mazuri ni kutafuta nusraHakunogi ndiyo lakini Muda mwingine hatufanyii kunoga bali ni kukidhi tu mahitajio
Nusra nipate aibu mchana wa leoMahitajio mazuri ni kutafuta nusra
nusra!! mmefuturu kimya kimya leoMahitajio mazuri ni kutafuta nusra
Leo nimemakinikaNusra nipate aibu mchana wa leo
Makinikia ndio yanamfanya jpm alilie trilioni miaLeo nimemakinika
Nimemakinika ni neno jipya la lugha ya kishwahiliLeo nimemakinika
Kiswahili ni lugha mama ya tanzaniaNimemakinika ni neno jipya la lugha ya kishwahili
Makenikia au makinikia!Chozi la kuibiwa makenikia
Tanzania ni nchi inayoendeleaKiswahili ni lugha mama ya tanzania