fansureboy
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 271
- 320
Darasa la kwanza na ulikuwa unaenda na vitumbua kwenye mfuko wa kaptula ya shule
Shule nyingi za kata zilijengwa wakati wa awamu ya 4 ya serikali ya JMTDarasa la kwanza na ulikuwa unaenda na vitumbua kwenye mfuko wa kaptula ya shule
Shule yangu ya msingi iko MburahatiDarasa la kwanza na ulikuwa unaenda na vitumbua kwenye mfuko wa kaptula ya shule
Mburahati ilikuwa inaongoza kwa fujo ktk uwanja wa barafuShule yangu ya msingi iko Mburahati
Barafu haiwezi kustahamili hali ya joto ni lazima itayeyuka.Mburahati ilikuwa inaongoza kwa fujo ktk uwanja wa barafu
Itayeyuka kama elfu kumi iliyochenchiwaBarafu haiwezi kustahamili hali ya joto ni lazima itayeyuka.
Itayeyuka endapo nyuzi joto za kuganda zitazidiwa na nyuzi joto za mvukizoBarafu haiwezi kustahamili hali ya joto ni lazima itayeyuka.
Mvukizo mwingi ktk maji hufanya maji kuganda kwa haraka ktk jokofuItayeyuka endapo nyuzi joto za kuganda zitazidiwa na nyuzi joto za mvukizo
Jokofu limesababisha nipandishiwe kodi ya nyumba na umemeMvukizo mwingi ktk maji hufanya maji kuganda kwa haraka ktk jokofu
Umeme wa bwawa la Nyumba ya Mungu ni chanzo cha nishatiJokofu limesababisha nipandishiwe kodi ya nyumba na umeme
Fulani yuko wapi mbona simuuoni?Umeme ulitumika kumaanisha ukimwi kipindi fulani
Simuoni hata mimi naona like zake tuFulani yuko wapi mbona simuuoni?
Tutampata muda si mrefu, tuvute subiraSimuoni hata mimi naona like zake tu
Tu huwa ni kama alama ya kushangaaSimuoni hata mimi naona like zake tu
Kushangaa ni jambo la kawaida sana kwa wanaopenda kuigizaTu huwa ni kama alama ya kushangaa
Kushangaa kuna mwishoTu huwa ni kama alama ya kushangaa
Mwisho wake ni matokeo ya ushindi wanguKushangaa kuna mwisho
Ushindi wangu hauna kikwazoMwisho wake ni matokeo ya ushindi wangu
Kikwazo utakipata tu, maana mashindano yameshika kasi sasaUshindi wangu hauna kikwazo