James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,187
- 15,535
Quote zako zimekaa sawa zile zangu zilihitaji uhakiki kama wa TamisemiMwenyewe nakuona tu unavyounganisha qoute zako
Quote zako zimekaa sawa zile zangu zilihitaji uhakiki kama wa TamisemiMwenyewe nakuona tu unavyounganisha qoute zako
Tamisemi inapiga danadana kwenye ajira mpyaQuote zako zimekaa sawa zile zangu zilihitaji uhakiki kama wa Tamisemi
Ajira mpya bado kwa sasa hivyo inatakiwa tu uvumilivuTamisemi inapiga danadana kwenye ajira mpya
Mpya kuliko zote ni porojo za CCM kujifanya wanapiga vita ufisadi wakati wao wenyewe ndio weziTamisemi inapiga danadana kwenye ajira mpya
Wezi wakubwa ila wanataka kujisafisha ili wapate nafas awamu ijayoMpya kuliko zote ni porojo za CCM kujifanya wanapiga vita ufisadi wakati wao wenyewe ndio wezi
Wezi wanatokana na ubovu wa maadili ya jamii. Beautiful ones are not yet bornMpya kuliko zote ni porojo za CCM kujifanya wanapiga vita ufisadi wakati wao wenyewe ndio wezi
Ijayo ni awamu ya jasho na damu, itakua nje mtiti ndani mtitiWezi wakubwa ila wanataka kujisafisha ili wapate nafas awamu ijayo
Born Mwaitege mnamjua?Wezi wanatokana na ubovu wa maadili ya jamii. Beautiful ones are not yet born
Mnamjua kama sasa hiv ni mchungajiBorn Mwaitege mnamjua?
Mchungaji!!! Maishani popote aseeMnamjua kama sasa hiv ni mchungaji
Asee, kwel cha msingi mkono uende kinywani na maisha yasonge mbeleMchungaji!!! Maishani popote asee
Mbele kuna shimo angalia usitumbukieAsee, kwel cha msingi mkono uende kinywani na maisha yasonge mbele
Uzembe ni kumuacha chenge uraiani wakati mmachinga anapelekwa jelaKujinasua ukishanasa na kunasa kwa mara nyingine ni uzembe
Salama si salminEeeeenh.......,aki vita ya mchanga haijawahi kuiacha mikataba salama.
Salmin Amour alikuwa balozi angali hajafukisha hata miaka 30Salama si salmin
Miaka 30 iliyopita nilikuwa darasa la kwanzaSalmin Amour alikuwa balozi angali hajafukisha hata miaka 30
Kwanza, Jakitoo shikamoo!!!! kumbe umekula chumvi hivyoMiaka 30 iliyopita nilikuwa darasa la kwanza