muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,542
- 3,587
Madhara gani kwenye utamu?Vitamu vina madhara
Madhara gani kwenye utamu?Vitamu vina madhara
Utamuu wa papuchi iwee inanatanataa...Madhara gani kwenye utamu?
Utamu ni uji wa mtamaMadhara gani kwenye utamu?
Mtama kwa nape au chato kwa maguUtamu ni uji wa mtama
Magu leo ametoa choziMtama kwa nape au chato kwa magu
Chozi la kuibiwa makenikiaMagu leo ametoa chozi
Makenikia ndio habari ya mjini hata kalomije wanaijua.Chozi la kuibiwa makenikia
Wanaijua vizuri mikataba yote kwa sababu wao ndio walioisaini kwa haraka haraka kwa hati za dharuraMakenikia ndio habari ya mjini hata kalomije wanaijua.
Dharura maalumWanaijua vizuri mikataba yote kwa sababu wao ndio walioisaini kwa haraka haraka kwa hati za dharura
Maalum kwetu sisi wawiliDharura maalum
Wawili ndo mchezo wa Jf siku hiziMaalum kwetu sisi wawili
Siku hizi huonekani hata sijui kwa nini..Wawili ndo mchezo wa Jf siku hizi
Kwanini hunioni anagali nipo.Siku hizi huonekani hata sijui kwa nini..
Nipo hapa nasubr wachambaji waje ndo ntaondoka niwapishe wajuaji.Kwanini hunioni anagali nipo.
Wajuaji wapi au kama yule wa janaNipo hapa nasubr wachambaji waje ndo ntaondoka niwapishe wajuaji.
Jana alituharibia pozi, lkn naona kaamua kuondka baada ya kupuuzwaWajuaji wapi au kama yule wa jana
Kupuuzwa ni dawa toshaJana alituharibia pozi, lkn naona kaamua kuondka baada ya kupuuzwa
kupuuzwa mbele ya watu inaudhi sana...Jana alituharibia pozi, lkn naona kaamua kuondka baada ya kupuuzwa
Sana tena ukiwa umefanya jambo la ajabukupuuzwa mbele ya watu inaudhi sana...
Inaudhi sana kumuona yule mdada akidhalilishwa na vijana wa kiume barabaranikupuuzwa mbele ya watu inaudhi sana...