Vipi wamekutongoza nini kwa kukudhania mwanamke.,, Hhahahh Jf kiboko yao..!!
Wako wengi wa namna hiyo, wanalifanya jukwaa la GT kuwa ni kijiwe cha udaku na kusaka yaliyo kwenye nyoyo zao
Kalale wew mshenzi umesambaratisha watu kwa upumbafu wako..!!
Nyoyo zao ni za kipekee. Ila inasikitisha mtoto wa kiume anapokuwa na tabia zisizoendana na jinsia yake. Hii inatufanya tusiishe kuwa mashaka.Wako wengi wa namna hiyo, wanalifanya jukwaa la GT kuwa ni kijiwe cha udaku na kusaka yaliyo kwenye nyoyo zao
Nyoyo zao ni za kipekee. Ila inasikitisha mtoto wa kiume anapokuwa na tabia zisizoendana na jinsia yake. Hii inatufanya tusiishe kuwa mashaka.
Hapo mimi nashuhudia tu kinachoendelea, maana inashangaza sana na inatia hurumaKichaa mimi huyo..!! emmyta na shamac mbona mnateteana sana, Mmeoana..?? Au ndo mnachepuka.? Shamac mke wa mtu huyo Shenz wew..!! Utakufa we danganyika tu hapo....!!
Inatia huruma kabisa wala sio uongo.Hapo mimi nashuhudia tu kinachoendelea, maana inashangaza sana na inatia huruma
Kichaa mimi huyo..!! emmyta na shamac mbona mnateteana sana, Mmeoana..?? Au ndo mnachepuka.? Shamac mke wa mtu huyo Shenz wew..!! Utakufa we danganyika tu hapo....!!
Kuskia kitu gan, lazima tukwambie, umemganda dada wa watu anashindwa hata kuhema. Kaolewa huyo, PM yake anasema imejaa sms zako hakutaki mbona huskii..??
Sound anataka uyo, jamani muacheni bure huwezi jua ana stress gani maisha haya yanachanganya watu
Mdonkela sifuatishi sms zako hata moja, wew ni mpumbavu, kwan ni dhambi mi kumtumia sms.? wew mbona una tabia za kike. Kipi kinakuuma ..?? Au unataka nije PM yako wew ndo nikupige sound..??
Watu naona mnataka mumtetee huyu...,, Emmyta analalamika jamaa anamtongoza, anamsumbua, acha tumuonye huyu kijana...!
Hebu koma wewe sinaga mazowea ya ajabu ajabu hivyo na watu. Pia wacha uchonganishi. Hunijui sikujui.
!! Ni alama za mshangao
Unaona sasa unavyoumbuka....! Tunataka tukupushe na haya wew ndo unayatafuta., Ushayapata ngoja uchambuliwe boya wew...!!
Ushauri wakoUmasikini umeletwa na serikali ya ccm dhaifu
Mshangao kweli!! Kuna mtu anatushangaza hapa jirani!! Ni alama za mshangao
Jirani huyo mtu amewashangaza nini tenaMshangao kweli!! Kuna mtu anatushangaza hapa jirani
Tena yuadandia gari kwa mbele kaamua kuharibu mchezo wetu lkn Mungu anamuonaJirani huyo mtu amewashangaza nini tena
Anamuona tena saana. Kama ni huyu namjua msishindane nayeTena yuadandia gari kwa mbele kaamua kuharibu mchezo wetu lkn Mungu anamuona
Naye ni wale wale tuAnamuona tena saana. Kama ni huyu namjua msishindane naye
Tuna aina nyingi za maendeleo. Ya mtu binafsi na ya watu wote kama jumuiya ama taifaNaye ni wale wale tu