Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,036
- 126,041
Hapa mi mwenyewe naufanya kama wewe. Vizuri sana nilitaka kujua tu bwana.Ujenzi naufanya kwa kunyapia nyapia.
Hahahahaahaaaa, kwa nini umefikiria hivyo emmyta, naona unanitumbua kisiri siri hapa