Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Tena unazidi kuchanganyikiwa
Misimu gani tena..??
Tena unazidi kuchanganyikiwa
Misimu gani tena..??
Tena unazidi kuchanganyikiwa
Tena, wewe una maswali kama polisi
Misimu gani tena..??
Zoezi lipi au Shemeji kakuita chumbani..??
Hujui hata nami pia huwa nafanya mazoezi
Chumbani pia ni uwanja wa zoezi au hujui..??
Mazoezi gani yanayofanyika chumbani?Hujui hata nami pia huwa nafanya mazoezi
Huyo Nimerudi tena emmyta upoTuuache jamani kutoka moyoni. Mimi simo kwenye mazoezi hayo ya chumbani ni SHAMAC huyo.
Upo na wewe kumbe. Mi nipo humu jf nimefika sina pa kwendaHuyo Nimerudi tena emmyta upo
Pa kwenda unapo Ila Utaki kwendaUpo na wewe kumbe. Mi nipo humu jf nimefika sina pa kwenda
Kwenda si mpaka nikose cha kufanya.Pa kwenda unapo Ila Utaki kwenda
Kwenda kwenye mwaliko ambao hamjaalikwa, mumegomea mwaliko wangu!Pa kwenda unapo Ila Utaki kwenda
Salama condom auKwenda kwenye mwaliko ambao hamjaalikwa, mumegomea mwaliko wangu!
Hiyo tabia haitaacha salama
Au nini sasaSalama condom au
Au hujaelewa nilichoandika! Mwambie emmyta akuelewesheSalama condom au
Au nini sasa
Uandamane mimi nitakutungia wimbo wa kuimba wakati wa maandamanosasa nikajua emmyta unapika kumbe bado upo tu, king'ang'anizi wew, wakikunyima ushindi uandamane...!!
Uandamane ili iwejee Hakuna Hicho kibali...sasa nikajua emmyta unapika kumbe bado upo tu, king'ang'anizi wew, wakikunyima ushindi uandamane...!!