SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,340
- 3,562
Mbona siwaelewi!
Siwaelewi hata mie, sie tunacheza wao wanakaza mishipa ya kichwa kama wanakariri insha...!!
Mbona siwaelewi!
Wewe nimegundua kitu kwako, niseme au nisiseme?Sielewi mi pia , ila ngoja nilijahidi kuelewa halafu nikueleweshe na wewe
Wewe nimegundua kitu kwako, niseme au nisiseme?
Nisiseme, mimi nasema. Mbona kuna vijana humuhumu JF wanataka kujinyonga kwa kukosa ajira!Vijana wetu pia ajira wanazo mbona.
Ajira ipo tu, mbona mimi nimejipatia Uenyekiti wa huu mchezo na emmyta ni msaidizi wanguNisiseme, mimi nasema. Mbona kuna vijana humuhumu JF wanataka kujinyonga kwa kukosa ajira!
Wangu uenyekiti msaidizi nitautumia kutatua matatizo ya kila mdau wa humu tena matatizo yale yanayohitaji ushauri ndio nayapa kipaumbele.Ajira ipo tu, mbona mimi nimejipatia Uenyekiti wa huu mchezo na emmyta ni msaidizi wangu
Wangu uenyekiti msaidizi nitautumia kutatua matatizo ya kila mdau wa humu tena matatizo yale yanayohitaji ushauri ndio nayapa kipaumbele.
Mama! Hakuna mtu kama mama,
Kipaumbele chetu sie kukufuata tu mama...!
Mama ni mama haijalishi ni wa aina ganiMama! Hakuna mtu kama mama,
Mama ni mama haijalishi ni wa aina gani
Hii ni mida ya kuliamsha dude, emmyta kaa chonjo tukinukishe
"Gani" haina mwendelezo hii..
Hii ndio jf
"Gani" haina mwendelezo hii..
Jf The home of Great ThinkersHii ndio jf
Jf The home of Great Thinkers
Gani? Inamaana hujui auThinkers wa madudu gani..?
Au hajui kithunguGani? Inamaana hujui au
Hicho hicho kingereza sema ametumia "misimu"Kithungu ndo kilugha gani hicho..??
Hicho hicho kingereza sema ametumia "misimu"