mzado
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 1,023
- 1,534
Mie sipendi mizoga
Nakimbiaa nisije geuzwa mzoga mie...!
Mie sipendi mizoga
Nakimbiaa nisije geuzwa mzoga mie...!
Mzoga ya kunguru hailiwi na mnyama yeyoteMie sipendi mizoga
Yeyote mwenye kujua ajira zinapatina wspi tujuzane basi!Mzoga ya kunguru hailiwi na mnyama yeyote
Basi sema ulisoma nini mkuuYeyote mwenye kujua ajira zinapatina wspi tujuzane basi!
Mkuu naona hatushtuani kwenye fursa nzuri! Ebu tuwe waungwana haya maisha peke yako huwezi kusonga mbele harakaBasi sema ulisoma nini mkuu
Haraka haraka haina baraka tujipange tutatoka tuuMkuu naona hatushtuani kwenye fursa nzuri! Ebu tuwe waungwana haya maisha peke yako huwezi kusonga mbele haraka
Tuungane kwa pamoja tufikia tulipo panga tangu awali.Haraka haraka haina baraka tujipange tutatoka tuu
Awali ya yote napenda kuwatangazia kuwa, kuanzia sasa mimi ni mwenyekiti wa huu mchezo ambaye pia nitatangazwa mshindi hivi karibuniTuungane kwa pamoja tufikia tulipo panga tangu awali.
Karibuni wote mimi ndio mwenyekiti msaidiziAwali ya yote napenda kuwatangazia kuwa, kuanzia sasa mimi ni mwenyekiti wa huu mchezo ambaye pia nitatangazwa mshindi hivi karibuni
kwa lolote karibuni sana.Sana inapendeza sana hiyo nafasi ya Umakamu. Kilichobaki ni kuchapa kazi kwa kwenda mbeleKaribuni wote mimi ndio mwenyekiti msaidizikwa lolote karibuni sana.
Sana tutakaribia, kumbe huu mchezo una mwenyekiti, mimi namkumbuka mwanzilishi tu!!Karibuni wote mimi ndio mwenyekiti msaidizikwa lolote karibuni sana.
Mwanzilishi tu ndio unamkumbuka na mwenyekiti pia yupoSana tutakaribia, kumbe huu mchezo una mwenyekiti, mimi namkumbuka mwanzilishi tu!!
Tutawatangaza viongozi kulingana na michango yao kwenye haya mashindanoSana tutakaribia, kumbe huu mchezo una mwenyekiti, mimi namkumbuka mwanzilishi tu!!
Mwanzilishi tu ndio unamkumbuka na mwenyekiti pia yupo
Uzito ulionao ndio utakupatia matokeoYupo na anabidii huyo kuongeza kurasa za uzi...!
Uzi wenyewe kwa jinsi ulivyo mrefu wacha tu azidi kuongeza kurasaYupo na anabidii huyo kuongeza kurasa za uzi...!
Mashindano yanatakiwa kuwe na wa kuchukua point tokea mwanzo wa mchezo. Mkuu James Comey mimi ajira ninayo Alhamdulillah tatizo ni kwa nyie vijana wetuBasi sema ulisoma nini mkuu
Vijana wetu pia ajira wanazo mbona.Mashindano yanatakiwa kuwe na wa kuchukua point tokea mwanzo wa mchezo. Mkuu James Comey mimi ajira ninayo Alhamdulillah tatizo ni kwa nyie vijana wetu
Mbona siwaelewi!Vijana wetu pia ajira wanazo mbona.
Sielewi mi pia , ila ngoja nilijahidi kuelewa halafu nikueleweshe na weweMbona siwaelewi!