Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,121
- 122,545
Kyela bado ni wilaya ndani ya mbeya au ulishakuwa mji.Mlionao ni mchele wa shinyanga au kyela?
Kyela bado ni wilaya ndani ya mbeya au ulishakuwa mji.Mlionao ni mchele wa shinyanga au kyela?
Wapi pengine kama sio ZanzibarMji mkongwe unapatikana wapi?
Wapi pesa inapatikanaMji mkongwe unapatikana wapi?
Inapatikana pale unapoji shughulisha kwa bidii.Wapi pesa inapatikana
Bidii katika kazi inahitajikaInapatikana pale unapoji shughulisha kwa bidii.
Bidii na Nidhamu ni nguzo za mafanikioInapatikana pale unapoji shughulisha kwa bidii.
Mafanikio huja unapojishughulisha sio kutumia nguvu tu hadi akiliBidii na Nidhamu ni nguzo za mafanikio
Ibada ya Nikah kwani nawe huitaki. Jitahidi nawe uipate mana ina raha zake.Eti emmyta unanionea wivu kwa ninayoyafanya kwa sababu bado sijaingia kwenye ibada ya Nikah
Zake zote zilichukuliwa na ndugu zakeIbada ya Nikah kwani nawe huitaki. Jitahidi nawe uipate mana ina raha zake.
Zake nazo pia zilichukuliwa pale zilipokuwepo.Zake zote zilichukuliwa na ndugu zake
Zilipokuwepo Nyumba za shirika la Nyumba pale TTC zilivunjwaZake nazo pia zilichukuliwa pale zilipokuwepo.
Zilivunjwa kimakosa hivyo wanasubiri fidia.Zilipokuwepo Nyumba za shirika la Nyumba pale TTC zilivunjwa
Fidia ni pale tunapochat halafu hatukusalimiana hivyo nasema za asubuhi.?Zilivunjwa kimakosa hivyo wanasubiri fidia.
Zilivunjwa kutokana na sababu zisizojulikanaZilipokuwepo Nyumba za shirika la Nyumba pale TTC zilivunjwa