Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,121
- 122,551
Za asubuhi nzuri, nimekukuta njiani hivyo nikawa sina jinsi. Mimi sijambo sijui wewe?Fidia ni pale tunapochat halafu hatukusalimiana hivyo nasema za asubuhi.?
Za asubuhi nzuri, nimekukuta njiani hivyo nikawa sina jinsi. Mimi sijambo sijui wewe?Fidia ni pale tunapochat halafu hatukusalimiana hivyo nasema za asubuhi.?
Zisizo julikana kwa unmaZilivunjwa kutokana na sababu zisizojulikana
Fidia ni pale tunapochat halafu hatukusalimiana hivyo nasema za asubuhi.?
Wewe Mwifwa kwani mchezo sheria zimebadilika?Za asubuhi nzuri, nimekukuta njiani hivyo nikawa sina jinsi. Mimi sijambo sijui wewe?
Anasaidia kwetu sote ndio maana tumeamka salama salimini tukiwa na afya tele.Wewe Mwifwa kwani mchezo sheria zimebadilika?
Zangu nzuri Mungu anasaidia
Tele-phone yangu juzi ilidondoka nimeitupa kuleAnasaidia kwetu sote ndio maana tumeamka salama salimini tukiwa na afya tele.
Telegram ni application nzuri sana ya kuchati zaidi ya zingine unazozijuaAnasaidia kwetu sote ndio maana tumeamka salama salimini tukiwa na afya tele.
Unazozijua nyingine ni zipi zaidi ya hiyo moja sema tu kweli.Telegram ni application nzuri sana ya kuchati zaidi ya zingine unazozijua
Kweli wewe emmyta huzijuiUnazozijua nyingine ni zipi zaidi ya hiyo moja sema tu kweli.
Ukweli nikwamba zipo nyingi nyingine zipo bankUnazozijua nyingine ni zipi zaidi ya hiyo moja sema tu kweli.
Huzijui aina tofauti tofauti za vitambiKweli wewe emmyta huzijui
Bank ya kutunzia damu maabara haiko salamaUkweli nikwamba zipo nyingi nyingine zipo bank
Vitambi vya kiume au vya kikeHuzijui aina tofauti tofauti za vitambi
Vya kike vipo pia siku hizi naona kinadada wanachura wa mbeleVitambi vya kiume au vya kike
Vya kike ni vizuri zaidi ila vya kiume mmh vinatisha kwa kweli.Vitambi vya kiume au vya kike
Mbele kwa mbele, nyuma mwikoVya kike vipo pia siku hizi naona kinadada wanachura wa mbele
Kweli unasema uongo vya kike havipo sexyVya kike ni vizuri zaidi ila vya kiume mmh vinatisha kwa kweli.
Havipo sexy? Sema tu ukweliKweli unasema uongo vya kike havipo sexy
Ukweli afu ukute anapendelea sijui ndio vibody tytHavipo sexy? Sema tu ukweli
Vibody tyt si ndio vizuri sasa ili kionekane kwa uzuriUkweli afu ukute anapendelea sijui ndio vibody tyt