mzado
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 1,023
- 1,534
Uziri wa hzo mitambi thats not fairVibody tyt si ndio vizuri sasa ili kionekane kwa uzuri
Uziri wa hzo mitambi thats not fairVibody tyt si ndio vizuri sasa ili kionekane kwa uzuri
Uzuri ni kwamba mimi nawaona tu mnavyopiga sogaVibody tyt si ndio vizuri sasa ili kionekane kwa uzuri
Fair play ndio inayotakiwa kwenye mchezo wa mpira wa miguuUziri wa hzo mitambi thats not fair
Soga nitapiga mpaka niwe wamwishoUzuri ni kwamba mimi nawaona tu mnavyopiga soga
Wamwisho mimi ndio nitampa zawadiSoga nitapiga mpaka niwe wamwisho
Zawadi gani hyo emmyta ?Wamwisho mimi ndio nitampa zawadi
Mwisho mtasherehekea ushindi wanguSoga nitapiga mpaka niwe wamwisho
Zawadi gani emmytaWamwisho mimi ndio nitampa zawadi
Mahabuba kaniganda kama hubaWangu mahabuba![]()
Yeye analalamika tu badala yakuonesha umahiri kama mimiemmyta anataka kuwashtukiza mpaka wenyewe msiamini kama kaitowa yeye.
Mimi mwenyewe nipo singleYeye analalamika tu badala yakuonesha umahiri kama mimi
Single ni marital statusMimi mwenyewe nipo single
Status yangu imepanda sana mtaaniSingle ni marital status
Mimi nataka upumzike unipe ushindi japo kwa lisaa MwifwaYeye analalamika tu badala yakuonesha umahiri kama mimi
Mtaani hapakaliki, maana hali iliyopo haiwezi kumuacha mtu salamaStatus yangu imepanda sana mtaani
Salama rohoni mwanguMtaani hapakaliki, maana hali iliyopo haiwezi kumuacha mtu salama
Salama anahost ngaz kwa ngaziMtaani hapakaliki, maana hali iliyopo haiwezi kumuacha mtu salama
Mwangu!! Siwezi kutoboa siriSalama rohoni mwangu