Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Hivyo ujue nilipitiwa na kumsahau kumshukuru Muumba wetu. Maana si wote wanakuwa na bahati ya kulelewa na wazazi wote wawili na Mababu na Mabibi wa pande zote mbili. Ahsante sana kwa kunikumbusha, nilipitiwa.

Nilipitiwa na usingizi jana nikasahau kula daku
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Daku nasikia wengi hawapendi kula. Wanadai ni usumbufu kwao kwani wanaenda kulala wakiwa wamevimbiwa 🙂🙂 au wakishalala hawapendi kuamshwa na hivyo kuharibu usingizi wao mtamu.
Mtamu sana ukiwekewa pilipili, tomatosauce, na viuongo lukuki....
Hapo lazima uvimbiwe
 
Uvimbiwe tena! Mie pia sipendi kuvimbiwa. Mara ya mwisho kuvimbiwa ilikuwa utotoni wali na maharagwe lol!

Mtamu sana ukiwekewa pilipili, tomatosauce, na viuongo lukuki....
Hapo lazima uvimbiwe
 
Daku nasikia wengi hawapendi kula. Wanadai ni usumbufu kwao kwani wanaenda kulala wakiwa wamevimbiwa 🙂🙂 au wakishalala hawapendi kuamshwa na hivyo kuharibu usingizi wao mtamu.
Mtamu usingizi na daku ukila naona kama ukiamka unakua saum inakushika haraka
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haraka swaumu inakushika! mie nilidhani usipokula daku ndiyo swaumu inakushika haraka maana unakaa masaa 24 ya swaumu, lakini ukikaa macho au kuamshwa kupata daku basi unapunguza masaa ya kubanwa na swaumu.

Swaumu au saumu lipi ni neno sahihi BAK
 
BAK anasema hana uhakika lipi ni neno sahihi. Niliwahi kuona pia watu wanauliza lipi ni neno sahihi kati ya suala na swala. Waliojibu wakadai suala linatumika sana Zenj na huku Bara ni swala lakini sijui ni lipi sahhi.

Sahhi BAK ina kosekana herufi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
BAK anasema hana uhakika lipi ni neno sahihi. Niliwahi kuona pia watu wanauliza lipi ni neno sahihi kati ya suala na swala. Waliojibu wakadai suala linatumika sana Zenj na huku Bara ni swala lakini sijui ni lipi sahhi.

Sahihi nahisi itakua swaum tu sababu kwenye quran inatamkikwa swaum doh najua siku zote ni swala hili la suala ndio wanambia leo
 
Back
Top Bottom