Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mkuu ahsante sana, sifa zote hizi nastahili kushare na wazazi wangu, mababu na mabibi wa pande zote mbili. Wote ni watu wastaarabu na waungwana sana.

Wako uungwana pia nimeuona hongera na wewe pia mkuu
 
Mkuu ahsante sana, sifa zote hizi nastahili kushare na wazazi wangu, mababu na mabibi wa pande zote mbili. Wote ni watu wastaarabu na waungwana sana.

Sana unapaswa kumshukuru na Mungu pia kwa kuwafanya wakulee katika maadili hadi leo umekua hivyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivyo ujue nilipitiwa na kumsahau kumshukuru Muumba wetu. Maana si wote wanakuwa na bahati ya kulelewa na wazazi wote wawili na Mababu na Mabibi wa pande zote mbili. Ahsante sana kwa kunikumbusha, nilipitiwa.

Sana unapaswa kumshukuru na Mungu pia kwa kuwafanya wakulee katika maadili hadi leo umekua hivyo
 
Back
Top Bottom