TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,301
Milk ni maziwa kwa kiswahili
Kiswahili nikibantu
Milk ni maziwa kwa kiswahili
Nikibantu=Ni kibantu... Acha kuharibu lugha yetuKiswahili nikibantu
yetu iko vizuriNikibantu=Ni kibantu... Acha kuharibu lugha yetu
Nikibantu=Ni kibantu... Acha kuharibu lugha yetu
Macho YA kurembuaYetu macho
Kugegedana mchana kuzimu hakuna nyota mchana wa ramadhan ni nwiko kwa dini yangu hata kwa wanandoaKuerembua macho mchepuko wangu huwa anapenda wakati wa kugegedana
Wanandoa wanajua wanachokifanyaKugegedana mchana kuzimu hakuna nyota mchana wa ramadhan ni nwiko kwa dini yangu hata kwa wanandoa
Wanachokifanya ni kinyume na sheria za fungaWanandoa wanajua wanachokifanya
Funga tuiheshimu wote. AsalaamWanachokifanya ni kinyume na sheria za funga
Asalaam alykum warahmatullah wbarakatuh nakusalimia kwa lugha ya kiarabuFunga tuiheshimu wote. Asalaam
Kiarabu sikijui vizuri ila ukimaliza mfungo tutafutane unifundishe bwanaAsalaam alykum warahmatullah wbarakatuh nakusalimia kwa lugha ya kiarabu
Bwana wewe namuogopa mkeo ana wivuKiarabu sikijui vizuri ila ukimaliza mfungo tutafutane unifundishe bwana
Wivu ni pale unapomuhofia mke wangu wakati muda huo nahofia kutokukuloveBwana wewe namuogopa mkeo ana wivu
Kutokukulove ww haisababishi mkeo aamini kwamba huniloveWivu ni pale unapomuhofia mke wangu wakati muda huo nahofia kutokukulove
Hunilove?Kutokukulove ww haisababishi mkeo aamini kwamba hunilove
Hunilove ni word mixing kwenye utambuzi wa lugha imeundwa na kiswahil na English huni+ love likawa neno mojaHunilove?
Moja ya vitu navyopenda ni kufurahi. Na naamini furaha yako ipo kwa watuHunilove ni word mixing kwenye utambuzi wa lugha imeundwa na kiswahil na English huni+ love likawa neno moja
Watu wengine wana mudhiMoja ya vitu navyopenda ni kufurahi. Na naamini furaha yako ipo kwa watu
Mudhibiti huyo unayehisi ndio yeyeWatu wengine wana mudhi