Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,040
- 126,056
Mkuu mimi hata sikumbuki [emoji12] mpaka nianze kupiga mahesabu ndio nipate jibu.Wengi siwajui... Ebu nieleze una Miaka mingapi mkuu
Mkuu mimi hata sikumbuki [emoji12] mpaka nianze kupiga mahesabu ndio nipate jibu.Wengi siwajui... Ebu nieleze una Miaka mingapi mkuu
Jibu ninalo! Au unataka nikuumbueMkuu mimi hata sikumbuki [emoji12] mpaka nianze kupiga mahesabu ndio nipate jibu.
Yaishe bana emmyta, huu muda ni wa majeruhi naanza kusogelea furaha
Furaha hata huku ipo. Hebu siku moja fumba macho ujongee na huku.Yaishe bana emmyta, huu muda ni wa majeruhi naanza kusogelea furaha
Furaha hata huku ipo. Hebu siku moja fumba macho ujongee na huku.Yaishe bana emmyta, huu muda ni wa majeruhi naanza kusogelea furaha
Huku ndio kutamu zaidi, ebu wewe anza kujongea halafu itafuatia mimiFuraha hata huku ipo. Hebu siku moja fumba macho ujongee na huku.
Hakunitoshi kwa vile mie mneneHuku hakunitoshi
mnene raha yake ni unatambulika mapemaHakunitoshi kwa vile mie mnene
Mapema nakuja huko unipe hizo nguo ulizovaa mana sio kwa kupendeza huko.mnene raha yake ni unatambulika mapema
Huko hakuna vitu vizuri kama hukuMapema nakuja huko unipe hizo nguo ulizovaa mana sio kwa kupendeza huko.
huku nakusubiri emmyta maana ipo kama hii nadhani itakutoshaHuko hakuna vitu vizuri kama huku
Itakutosha sana tu mana na mimi itanitosha pia.huku nakusubiri emmyta maana ipo kama hii nadhani itakutosha
pia usisahau kumpitia mwifwa kuna futari hukuItakutosha sana tu mana na mimi itanitosha pia.
Kesho mimi nitakuwa wa kwanza kukaa kwenye jamviHuku tumenaliza labda mje kesho