GASPER ZUBEIR
Member
- Jun 2, 2017
- 14
- 15
Huku kwetu ni aroz ko fejao
Ieu el ros niwali kwa kispanish.wareno Na waspanish Lugha zao zinafanana kidogo.Fejao ni wali kwa kireno kwa kiduch ni ïêû
Tena bora umeshaamka maana...Saudia YA wap tena
Maana niniTena bora umeshaamka maana...
Asubuhi Hii... Habari Hakuna... Labda huko kwakoNini tena mbona una wasiwasi
Habari ya asubuhi?
Kwako kuna shida gani mpaka asubuhi isiwepo..Asubuhi Hii... Habari Hakuna... Labda huko kwako
Isiwepo wap Bhanaa.. Kuna tetesi umechaguliwa kuwa waziri wa wizara Ile...Kwako kuna shida gani mpaka asubuhi isiwepo..
Ile Wizara siiwezi maana kutumbuliwa nje njeIsiwepo wap Bhanaa.. Kuna tetesi umechaguliwa kuwa waziri wa wizara Ile...
Ile Wizara siiwezi maana kutumbuliwa nje nje
Sweta la nn Mkuu... Au huko kijijininje kuna baridi leo inabidi nitoke na sweta
Sweta la nn Mkuu... Au huko kijijini
Kidogo na mimi niletee basikijijini kwetu nimeenda kula mbuzi kidogo
Basi atuletee wote...Kidogo na mimi niletee basi
Kweli vile niletee, kama haitoshi niletee mimi peke yangu.Wote mnataka atatosha kwelii