kisiki kizito
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 676
- 858
Yangu Itakua YA kichoyoKweli vile niletee, kama haitoshi niletee mimi peke yangu.
Yangu Itakua YA kichoyoKweli vile niletee, kama haitoshi niletee mimi peke yangu.
Yangu Itakua YA kichoyo
Mbele kuna utofauti mkubwa na nyumakichoyo hapana ntawaletea nyie wawili wengine wakiamka ntawaambia ameisha ntawapa miguu ya mbele
Mbele kuna utofauti mkubwa na nyuma
Zangu au zako mkuu
Mtoto wake alikuwa ni mwanafunzi na yeye..mkuu wa shule niliosoma secondary alikuwa brother ila alikuwa na mtoto
Mtoto wake alikuwa ni mwanafunzi na yeye..
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyoyeye alikuwa brother hawaruhusiwi kuoa wala kuwa na mtoto
mtoto ni majaaliwa kutoka kwa Munguyeye alikuwa brother hawaruhusiwi kuoa wala kuwa na mtoto
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Akuavyo ndivyo atakavyokuwaMtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Atakavyokuwa hata sijajua bado mana hata sijamuonaAkuavyo ndivyo atakavyokuwa
Sijamuona bado anayenipendaAtakavyokuwa hata sijajua bado mana hata sijamuona
Anayenipenda ni mama yangu na baba pekeeSijamuona bado anayenipenda
Pekee namkubali mamaAnayenipenda ni mama yangu na baba pekee
Mama na baba wanamchango mkubwa Sanaa kwakoPekee namkubali mama
Mama yangu, nampenda hamna mfanowePekee namkubali mama
Wapi ulikutana nae unayempendamfanowe ni kiswahili cha wapi