gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Mshindi ni mimi mbona dadaSasa naanza kuelewa kwa nini hakuna mshindi
Mshindi ni mimi mbona dadaSasa naanza kuelewa kwa nini hakuna mshindi
Baridi ya arusha inavumilika ila si ile ya MakambakoSasa Arusha ni antactica... Kwa baridi
Makambako karibu na mbeziBaridi ya arusha inavumilika ila si ile ya Makambako
Dada yako anautaka muachie na yeyeMshindi ni mimi mbona dada
Makambako hakuna kitu kwa njombe manispaaa aisee pale ndio funga kaziBaridi ya arusha inavumilika ila si ile ya Makambako
Yeye atafute wa kwake mwakaniDada yako anautaka muachie na yeye
Kazi kwishinei hapa, sasa nguli wa huu mchezo ameingia uwanjaniMakambako hakuna kitu kwa njombe manispaaa aisee pale ndio funga kazi
Mwakani tutakuwa tumebadilisha mchezoYeye atafute wa kwake mwakani
Uwanjani kwenyewe kumejaa jiandae tu kujibu mashambulizi.Kazi kwishinei hapa, sasa nguli wa huu mchezo ameingia uwanjani
Uwanje upi hasaaKazi kwishinei hapa, sasa nguli wa huu mchezo ameingia uwanjani
Uwanje upi hasaa
Hasa hasa mimi mwenyeweUwanje upi hasaa
Mwenyewe huu uzi yuko wapi atoe tuzo hapaHasa hasa mimi mwenyewe
Hapa hapa nawasubiri mje basiMwenyewe huu uzi yuko wapi atoe tuzo hapa
Basi nimeamua kujitoa kwenye tuzoHapa hapa nawasubiri mje basi
Tuzo yenyewe haipo hivyo endelea tu kubaki.Basi nimeamua kujitoa kwenye tuzo
Kubaki hapa au kule pm mkuuTuzo yenyewe haipo hivyo endelea tu kubaki.
Mkuu wa nchiKubaki hapa au kule pm mkuu
Nchi ipi hiyo mana wapo wengiMkuu wa nchi
Wengi siwajui... Ebu nieleze una Miaka mingapi mkuuNchi ipi hiyo mana wapo wengi