Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Daah! Leo uchovu umenikaba sana, nacheza chini ya kiwangomkuu umenifurahisha na neno njuka daah
Daah! Leo uchovu umenikaba sana, nacheza chini ya kiwangomkuu umenifurahisha na neno njuka daah
Kiwango cha kubadili dollar kwa Tsh ni ngapi leoDaah! Leo uchovu umenikaba sana, nacheza chini ya kiwango
Leo iliitwa kesho jana.Kiwango cha kubadili dollar kwa Tsh ni ngapi leo
Jana na leoLeo iliitwa kesho jana.
Leo ni leo asemae kesho ni muongoJana na leo
Nuongo??Leo ni leo asemae kesho ni nuongo
Nuongo ndio nin mwifwa au una sinzia usiku huuNuongo??![]()
![]()
Sijawahi kulisikia hilo neno
Huu ukatili wa kutokubali makosa yako hauvumiliki humu kwenye mashindanoNuongo ndio nin mwifwa au una sinzia usiku huu
Kwenye mashindano lazima utumie mbinu ili uweze kushindaHuu ukatili wa kutokubali makosa yako hauvumiliki humu kwenye mashindano
kushinda kwa kubebwa huo sio ushindiKwenye mashindano lazima utumie mbinu ili uweze kushinda
Ushindi wa bao la mkono haukumuacha mtu salamakushinda kwa kubebwa huo sio ushindi
salama ndio kinga ya kuaminikaUshindi wa bao la mkono haukumuacha mtu salama
Kuaminika na mkulu unakua salamasalama ndio kinga ya kuaminika
Salama lakini wananchi wanakuwa hawana Imani naweKuaminika na mkulu unakua salama
Nawe Sakayo lala ucku huu wote unakeshaSalama lakini wananchi wanakuwa hawana Imani nawe
Unakesha wapi leo Princess, mie nipo nipoNawe Sakayo lala ucku huu wote unakesha
Nipo kitandan pangu nasubir asubuh niende sehemuUnakesha wapi leo Princess, mie nipo nipo
Sehemu hiyo ndo ya kufanya ukeshe jamani, pumzika basiNipo kitandan pangu nasubir asubuh niende sehemu
Pumzika wewe apo me nimelala tangia saa nne usingiz wangu hauzid masaa sitaSehemu hiyo ndo ya kufanya ukeshe jamani, pumzika basi
Sita tuu, unatakiwa ulale masaa nane. Mie niko job nikilala itakuwa shidaPumzika wewe apo me nimelala tangia saa nne usingiz wangu hauzid masaa sita