ajali gani utoke salama? hiyo haitakuwa ajali bali utakuwa umegongwa na guta!!"Salama salimini nimetoka" alisema yule mzee aliyenusurika kwenye ajali
ajali gani utoke salama? hiyo haitakuwa ajali bali utakuwa umegongwa na guta!!"Salama salimini nimetoka" alisema yule mzee aliyenusurika kwenye ajali
guta pia inaeweza kukupeleka kwenye uzima wa mileleajali gani utoke salama? hiyo haitakuwa ajali bali utakuwa umegongwa na guta!!
uzima wa milele huwa haupatikani kwa lelemama, nguzo kuu ya kuupata ni haki kwa wote.guta pia inaeweza kukupeleka kwenye uzima wa milele
Wote tutakufa tu maana hapa duniani tunapita majivuno ya nini.uzima wa milele huwa haupatikani kwa lelemama, nguzo kuu ya kuupata ni haki kwa wote.
kipenzi cha watanzania kilikuwa ni Mwalimu.Milele Daima Nitakupenda MAMA yangu Kipenzi
Majivuno ya nini? ukiwa nacho lazima uringe, mtaa wa pili watajuaje?Wote tutakufa tu maana hapa duniani tunapita majivuno ya nini.
napita wapi? angalia rule of the game!Napita
Nazijuanapita wapi? angalia rule of the game!
Nazijua ndiyo nini? unakuwa kama umetoka Rufiji bana!!Nazijua
Umetumwa sioNazijua ndiyo nini? unakuwa kama umetoka Rufiji bana!!
Sio ugomvi hapa! Kama mtu hujapendezwa na kitu ni busara kusoma na kuacha bila kuvuruga wengine.Umetumwa sio
kuzaliwa ni neno ambalo linanichanganya sana,eti mpaka vyama vya siasa vinazaliwa
kuzaliwa au kuanzishwa mkuu?Vinazaliwa mkuu, ile siku rasmi kilipoanzishwa ndo siku ya kuzaliwa.
Mkuu form 1 enzi zile tulikuwa tunawaita form nyoyakuzaliwa au kuanzishwa mkuu?
nyoya !! pale azaboy walikua wanaitwa njuka mkuuMkuu form 1 enzi zile tulikuwa tunawaita form nyoya
mkuu umenifurahisha na neno njuka daahnyoya !! pale azaboy walikua wanaitwa njuka mkuu