Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Tena nakushangaa sana unavyojifanya huujui huu mchezo wa wa mwisho ndio mshindiKanuni za mchezo upi tena?
Tena nakushangaa sana unavyojifanya huujui huu mchezo wa wa mwisho ndio mshindiKanuni za mchezo upi tena?
Mshindi ni mimiTena nakushangaa sana unavyojifanya huujui huu mchezo wa wa mwisho ndio mshindi
Mimi nakuhakikishia kwa asilimia zote, leo ni AlhamisiMshindi ni mimi
Alhamisi siku ya kusomwa bajeti ya TaifaMimi nakuhakikishia kwa asilimia zote, leo ni Alhamisi
Mimi pia nautaka kama nyie.Mshindi ni mimi
Nyie hamuwezi kushinda, maana mnatembea majukwa mengi ajabu sijawahi kuonaMimi pia nautaka kama nyie.
Kuona hata huwezi Mwifwa maana una macho madogo mno.Nyie hamuwezi kushinda, maana mnatembea majukwa mengi ajabu sijawahi kuona
Unaniwakilisha wapi tena.. Hebu funguka sumu yake ni ipi?Ushindi nitaupata tu!
Majukwaa mengine ni sumu emmyta, bora uwe unaniwakilisha
Ipi hasa inakufaa kati ya hizi team mbili....Unaniwakilisha wapi tena.. Hebu funguka sumu yake ni ipi?
Mbili nini wewee. Mi huwa sina timu ninayoiamini kiukweli.Ipi hasa inakufaa kati ya hizi team mbili....
Kiukweli unadanganya wewe emmytaMbili nini wewee. Mi huwa sina timu ninayoiamini kiukweli.
Kuzitofautisha timu gani, mbona umezikazania? lol Mwifwa hebu muulize vizuri T 1990 ELY akwambie kama za kipuuzi mpe adhabu mana anazizungumzia tangu asubuhi.Kiukweli unadanganya wewe emmyta
Hahaha!! kwani hujawahi kukutana na hizo team ukajaribu kuzitofautisha?
Mchezo umekupita ee. Ngoja aje hapa hapa aseme mwenyewe.Asubuhi nilikuwa nimebanwa na kazi, nikawa nanyapia nyapia mchezo
Makanikia hayajawahi kumuacha mtu salamaMwenyewe katoka, kaenda kwa msusi kabeba na chanuo. Vipi hivi hili shindano mbona linakuwa kama Makanikia?
"Salama salimini nimetoka" alisema yule mzee aliyenusurika kwenye ajaliMakanikia hayajawahi kumuacha mtu salama
mtu salama? aaahh wapi, kuna jamaa karuka viunzi weee mwishowe kanasa!!Makanikia hayajawahi kumuacha mtu salama