Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,632
wa mwisho (mshindi) naona hayupo kila mtu anajitahidi awe wa mwidho lakini hamna kituWanajf jaman naomba mkubali mimi niwe wa mwisho(mshindi).
wa mwisho (mshindi) naona hayupo kila mtu anajitahidi awe wa mwidho lakini hamna kituWanajf jaman naomba mkubali mimi niwe wa mwisho(mshindi).
Hamna kitu kama hicho waache tu tuendelee na mchezo wetu.wa mwisho (mshindi) naona hayupo kila mtu anajitahidi awe wa mwidho lakini hamna kitu
Wana jamiiforums wote nawapendakweli kabisa veeswt!
za asubuhi wanajf
hizo nguo ni nzuri sema bei yake sasa!Wana jamiiforums wote nawapenda
Salama tu jakitoo vipi kwema pande hizo
Elly ni jina languhizo nguo ni nzuri sema bei yake sasa!
huku kwema kabisa T 1990 Elly
Jakitoo, ni mwana jamii forum mwenzetuElly ni jina langu
Kama umezipenda hizo nguo chagua uwezavyo gharama kwangu jakitoo
Mwenzetu thatsit yuko wapi ameadimika humu.Jakitoo, ni mwana jamii forum mwenzetu
Humu pamemshinda labda aende makapuku forumMwenzetu thatsit yuko wapi ameadimika humu.
Makapuku forum kule walio wengi kila mtu ana wake hivyo kama kaenda ajiandae kutafutiwa mwenza na yeye.Humu pamemshinda labda aende makapuku forum
Yeye Hana hizo tabia Kwan hata huku angepata mwenza wakeMakapuku forum kule walio wengi kila mtu ana wake hivyo kama kaenda ajiandae kutafutiwa mwenza na yeye.
Wake kule anaweza pata ila sio rahis kama uzaniavyoYeye Hana hizo tabia Kwan hata huku angepata mwenza wake
Uzaniavyo siyo kumbe ndiyoWake kule anaweza pata ila sio rahis kama uzaniavyo
vipi mkuu? habari za utokakoUzaniavyo siyo kumbe ndiyo
dingimtoto mambo vipi
Habari za nitokako salama/njema sana tu mkuu.vipi mkuu? habari za utokako
na kama una dada naweza kua shemeji yako
yangu hua ni macho tu coz siongei sanaHabari za nitokako salama/njema sana tu mkuu.
Dada ninae/ninao watatu
Na kati ya hao dada zangu watatu mmoja wao ndo huyo kwenye Avatar yangu....
Duh!!....sijawahi kujua hisia zake,mipango yake kuhusu kutaka kuwa na mme/mpenzi/mchumba wa aina gani.yangu hua ni macho tu coz siongei sana
na unajua me ni form1,je hataki waliosoma sana?
Ganipada ni tamshi la neno gani la kithungu?Duh!!....sijawahi kujua hisia zake,mipango yake kuhusu kutaka kuwa na mme/mpenzi/mchumba wa aina gani.
Hata sijui mkuu MwifwaGanipada ni tamshi la neno gani la kithungu?
Mwifwa amekuuliza swali hadi umeamua kuvunja kanuni za mchezoHata sijui mkuu Mwifwa
Kanuni za mchezo upi tena?Mwifwa amekuuliza swali hadi umeamua kuvunja kanuni za mchezo