Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Hovyo kweli pale unapokuwa na shauku ya kuonana na mtu halafu anachelewa kufika eneo la tukio au asije kabisa.
Kabisa na mbaya zaidi ukute umemaliza gharama zako na ulipokaa umeagiza kinywaji ukitegemea atakuja kulipa. Hapo ndio inapokuwa mtihani.
 
Kabisa na mbaya zaidi ukute umemaliza gharama zako na ulipokaa umeagiza kinywaji ukitegemea atakuja kulipa. Hapo ndio inapokuwa mtihani.
Mtihani wa kumushobokea mtu nilipata Bashite

Hiyo khali huwaga inanitokeaga mara kwa mara aiseee!!

Hasa nikiwa na miahadi na demu
 
Back
Top Bottom