Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,457
Kiswahili ndio kinapotea taratibuMmama hili neno halipo kwenye kiswahili
Kiswahili ndio kinapotea taratibuMmama hili neno halipo kwenye kiswahili
Taratibu naanza kuelewa nini maana ya emmytaKiswahili ndio kinapotea taratibu
Emmyta sio neno gumu saana, hivyo jitahidi utalielewa muda sio mrefu.Taratibu naanza kuelewa nini maana ya emmyta
Mrefu sana yule mdada hasa usawa na kiunoni kushuka chini yaani ukimuona utampenda kwa kweliEmmyta sio neno gumu saana, hivyo jitahidi utalielewa muda sio mrefu.
Kweli usemayo mana nasikia hana tofauti na alivyo kutoka kiunoni mpaka juu.Mrefu sana yule mdada hasa usawa na kiunoni kushuka chini yaani ukimuona utampenda kwa kweli
Juu ya kabati nimeficha kipimo/majibu ya H.I.VKweli usemayo mana nasikia hana tofauti na alivyo kutoka kiunoni mpaka juu.
Majibu ya HIV huwa yanaogopesha kwa upande wa wanaume sasa sijui nini kinasababisha hali hiyo.Juu ya kabati nimeficha kipimo/majibu ya H.I.V
Hiyo khali husababishwa na uoga wa kuyapokea majibu na pia ukianza kuwanza msururu wa wanawake uliowagegeda dah lazima kuwepo na ugumu fulani hivi.Majibu ya HIV huwa yanaogopesha kwa upande wa wanaume sasa sijui nini kinasababisha hali hiyo.
Hiyo khali husababishwa na uoga wa kuyapokea majibu na pia ukianza kuwanza msururu wa wanawake uliowagegeda dah lazima kuwepo na ugumu fulani hivi.
Siyo kwa wanaume tu hata wanawake nao wanakuwaga na ugumu/uoga fulani hivi emmyta
Aiseee!!hiyo mara kwa mara upimayo emmyta majibu yako yapo vipi? (Nauliza tu)Emmyta mara zote alizopima mbona hakuwa na hofu ya ajabu kama mnayokuwa nayo.
Wanawake sio sana bana nyie ndio mmezidi aisee.
Aiseee!!hiyo mara kwa mara upimayo emmyta majibu yako yapo vipi? (Nauliza tu)
Kwanza hatujasalimiana mkuu
Vipi kwema
Mtu wangu wa karibu hapa nyumbani kwetu ni MAMA yangu tuKwema tu huku sijui kwako.
Halafu wewe T 1990 ELY umesahau kama majibu ni siri ya mtu.
Mkuu mbona unanitisha. Basi nitapunguza aisee.Mtu wangu wa karibu hapa nyumbani kwetu ni MAMA yangu tu
Ndiyo nakumbuka kuwa majibu ni siri ya mtu emmyta ila huko kupima kwako mara kwa mara ipo siku utakipata/utakikuta unachokitafuta mkuu.
Siyo kupunguza tu yaani acha kabisa mkuuMkuu mbona unanitisha. Basi nitapunguza aisee.
Just kidding this is not jfSiyo kupunguza tu yaani acha kabisa mkuu
Tehteh.....just kidding
For youKidding! No it's serious, emmyta'll real get what she finds for
Jf kirefu chake ni JamiiforumsJust kidding this is not jf
Jamiiforums ndio mtandao ambao asilimia kubwa ya waliojiunga wana akili zilizo timamu.Jf kirefu chake ni Jamiiforums