Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Online tupo wachache sana na tunajuanaUlijuaje kama mimi sipo online!
Online tupo wachache sana na tunajuanaUlijuaje kama mimi sipo online!
Tunajuana sio kiudani bali kama wana jukwaa hiliOnline tupo wachache sana na tunajuana
Hili tatizo halitatatulika hata kidogoTunajuana sio kiudani bali kama wana jukwaa hili
Kidogo kidogo mwishowe tutapatana wa kukimbia pamoja humu, maana wa kutembea itakuwa utata!Hili tatizo halitatatulika hata kidogo
Utata ni pale ninapotaka kuwa wa mwisho, lakini kuna mjinga atajitokezaKidogo kidogo mwishowe tutapatana wa kukimbia pamoja humu, maana wa kutembea itakuwa utata!

Atajitokeza kugonga mlango wa chooni wakati ameniona nimo chooniUtata ni pale ninapotaka kuwa wa mwisho, lakini kuna mjinga atajitokeza![]()
Nimo chooni sitaki usumbufuAtajitokeza kugonga mlango wa chooni wakati ameniona nimo chooni
Usumbufu wa kuitwa nnapokula ugali wangu sipendiNimo chooni sitaki usumbufu
Nimeshalala, sasa hivi nimeamka nichungulie kidogo hapa jamvini kama nitakuta ambaye yupo machoSipendi kusumbuliwa nimeshalala
Wawili hao kina nani tena wasio na siri.
Mpya za kilaza ndugai
Lao halichachiNdugai ni ZERO brain kama wengi ndani ya chama lao.
Halichachi imebuma, bado nataka kuwa wa mwisho, ataekuja amekubali kujazwaLao halichachi
Kujazwa si mpaka ujaze. Ila hata siafiki maneno yao wanayoyatumia kwenye hayo matangazo.Halichachi imebuma, bado nataka kuwa wa mwisho, ataekuja amekubali kujazwa
Matangazo ya joti akihamasisha watu kujazwa na tgoKujazwa si mpaka ujaze. Ila hata siafiki maneno yao wanayoyatumia kwenye hayo matangazo.
tgo au tigo siwapendi aiseeMatangazo ya joti akihamasisha watu kujazwa na tgo
Aisee uko kama mimitgo au tigo siwapendi aisee
Mimi nawapenda na ile kauli mbiu yaoAisee uko kama mimi
Yao ya jaza ujazwe au ipi unamaanishaMimi nawapenda na ile kauli mbiu yao