Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Hizi ni dalili ya zama za mwishoUshemeji ulikuwa enzi hizo sio siku hizi
Hizi ni dalili ya zama za mwishoUshemeji ulikuwa enzi hizo sio siku hizi
shemeji shemeji huku wazima taaShemeji!! Siku hizi hakunaga ushemeji
Mwisho unaweza ukawa bado ila watu wakaulazimisha kwa matendo na mambo yaoHizi ni dalili ya zama za mwisho
Yao hasa ambayo hayampendezi Muumba wa mbingu na nchiMwisho unaweza ukawa bado ila watu wakaulazimisha kwa matendo na mambo yao
Nchi yenyewe kila kukicha unawaza leo atatumbuliwa nani..Yao hasa ambayo hayampendezi Muumba wa mbingu na nchi
Nani kakuambia kesho atatumbuliwa mtu?Nchi yenyewe kila kukicha unawaza leo atatumbuliwa nani..
Mtu anayetumbuliwa unadhani anajua siku basi huwa inatokea ghafla hivyo kwa kuwa kesho nayo ni siku huenda ikawa hivyo pia..Nani kakuambia kesho atatumbuliwa mtu?
Pia ni vigumu kwa mtu kutumbuliwa ukiangalia na nature ya maisha ya sasaMtu anayetumbuliwa unadhani anajua siku basi huwa inatokea ghafla hivyo kwa kuwa kesho nayo ni siku huenda ikawa hivyo pia..
Sasa ni muda wa kulala kwa sababu kesho ni siku ya kaziPia ni vigumu kwa mtu kutumbuliwa ukiangalia na nature ya maisha ya sasa
Kazi ni muhim ukitaka kuona umuhimu wa kazi waulize waliotumbuliwa.Sasa ni muda wa kulala kwa sababu kesho ni siku ya kazi
Waliotumbuliwa nao wazembe tu wangekomaa wangebakiKazi ni muhim ukitaka kuona umuhimu wa kazi waulize waliotumbuliwa.
Wangebaki kama masharti waliokuwa wamepewa ni marahisi ila wamepewa masharti magumu akaona bora watumbuliweWaliotumbuliwa nao wazembe tu wangekomaa wangebaki
Watumbuliwe tu maana hakuna namnaWangebaki kama masharti waliokuwa wamepewa ni marahisi ila wamepewa masharti magumu akaona bora watumbuliwe
Hakuna namna kutokana na wao ni waongo na wezi watupuWatumbuliwe tu maana hakuna namna
Watumbuliwe hadi akina Bashite hapo ndio haki itakuwa imetendekaWangebaki kama masharti waliokuwa wamepewa ni marahisi ila wamepewa masharti magumu akaona bora watumbuliwe
Imetendeka wap wakati wapuuzi wanatafuna nchi bila sisi kujuaWatumbuliwe hadi akina Bashite hapo ndio haki itakuwa imetendeka
Imetendeka ni neno gumu kukaa mwanzo wa sentensiWatumbuliwe hadi akina Bashite hapo ndio haki itakuwa imetendeka
Sentensi zenyewe za kuunga unga kama maisha ya sasa hivi yalivyoImetendeka ni neno gumu kukaa mwanzo wa sentensi
Babycare ni mafuta ambayo yamedumu kwa muda mrefuyalivyobadilika hasa pale sauti ya muheshimiwa iliposkika inamuita mtu mzima BABY