Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,457
Nimeamka salama pia nami. Hatuna budi wote kwa pamoja kumshukuru m'mungu kwa kutuamsha salama, na kutufanya tuione siku mpya ya jumatatu.Salama kabisa, na mimi nimeamka
Nimeamka salama pia nami. Hatuna budi wote kwa pamoja kumshukuru m'mungu kwa kutuamsha salama, na kutufanya tuione siku mpya ya jumatatu.Salama kabisa, na mimi nimeamka
Jumatatu ya leo mbona kumetulia sanaNimeamka salama pia nami. Hatuna budi wote kwa pamoja kumshukuru m'mungu kwa kutuamsha salama, na kutufanya tuione siku mpya ya jumatatu.
Kumetulia sana nadhani wengi wana uchovu wa jana jumapili mana ni wachache wenye kutulia nyumbani.Jumatatu ya leo mbona kumetulia sana
kutulia nyumbani siku ya jumapili ni raha sanaKumetulia sana nadhani wengi wana uchovu wa jana jumapili mana ni wachache wenye kutulia nyumbani.
Ni raha sana ila wengi hawajajua badokutulia nyumbani siku ya jumapili ni raha sana
Bado nakupendaNi raha sana ila wengi hawajajua bado
Why umeharibu sheria ya mchezo
Mchezo hata sio mgumu ila kaamua tuWhy umeharibu sheria ya mchezo
Leo Jumatatu nimepiga pamba kali shati tu bei yake kilo wakati wengine wanawaza kilo ya unga!Kilo ya unga na kilo ya pamba zoko sawa
Sawa nashukuru kuniquote lakini ndivyo sivyoKilo ya unga na kilo ya pamba zoko sawa
sivyo ndivyo,ndivyo sivyo ndivyoSawa nashukuru kuniquote lakini ndivyo sivyo
Ndivyo akili yako ilivyo, vile unavyofikirisivyo ndivyo,ndivyo sivyo ndivyo
Unavyofikiri ndivyo upeo wa akili yakoNdivyo akili yako ilivyo, vile unavyofikiri
Yako wapi makao makuu ya Ofisi za CCMUnavyofikiri ndivyo upeo wa akili yako
Ccm ni ileileYako wapi makao makuu ya Ofisi za CCM
Ileile oooooooh ni ileile...ccm ni ileile oohhhh ni ileile......Wacha tuisome nambaCcm ni ileile
Namba hiyo namba ngapi mana haijajulikana mpaka leo namba inayosomwa.Ileile oooooooh ni ileile...ccm ni ileile oohhhh ni ileile......Wacha tuisome namba
inayosomwa ni ile namba ya bus ambalo dereva wake kajitaja mwenyewe japo abiria tulioko ndani hatujui tunapoelekea maana gari limekosa tlb na mamlaka husika wamebaki kutazama tu kwakua wanaogopa dereva asije akawagonga kwaupande mwengine abiria wengi wamekosa imani nae hivo kelele ni nyingi ndani ya bus kwahiyo kila mmoja kwa imani anaomba afike salama maana kushuka hairuhusiwiNamba hiyo namba ngapi mana haijajulikana mpaka leo namba inayosomwa.