Kuelewa ushaelewa ila unajitoa fahamu. Hapa wa mwisho ndio mshindiMasharti ya uzii huu hakupostiwi picha? Sijaziona picha nisaidien nataka kuelewa
Kuelewa ushaelewa ila unajitoa fahamu. Hapa wa mwisho ndio mshindiMasharti ya uzii huu hakupostiwi picha? Sijaziona picha nisaidien nataka kuelewa
Kuelewa na kulewa, vinaenda sambamba.Masharti ya uzii huu hakupostiwi picha? Sijaziona picha nisaidien nataka kuelewa
Sambamba si kwa maneno hayo!Kuelewa na kulewa, vinaenda sambamba.
Hayo yote yanatokana na shibeSambamba si kwa maneno hayo!
Shibe nimepata sasa ngoja nipumzike, panapo majaaliwa, kesho tena.Hayo yote yanatokana na shibe
Tena uamke mapemaShibe nimepata sasa ngoja nipumzike, panapo majaaliwa, kesho tena.
taji langu la mwisho kuvishwa ni pindi nahitimu masomo yangu...2006..Mapema ni awali kabla ya kingine na mimi tangu mapema nilijua nitashinda mchezo huu kwa kuwa mtu wa mwisho, Na leo nimekuwa wa mwisho, nipeni taji langu
...!!!..
Kidogo kidogo siku za mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan zimefika saba
Sana huwezi kuamini wiki imekatikaSaba mara hii? Siku zinakimbia sana.
Sana huwezi kuamini wiki imekatika
Nzima wala haijakatika hata kipandeImekatika bila kutarajia, kwani ilonyesha mfululizo kwa muda wa wiki nzima
Kipande kikubwa niachie mimi
Kidogo ni wimbo wa diamondmimi ndo wa mwisho japo nilipotea kidogo
Kidogo ni wimbo wa diamond