Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Gumu kuliko jiwediamond ni jiwe nalipenda sana yana fanana na quartz sema diamond ni gumu
Gumu kuliko jiwediamond ni jiwe nalipenda sana yana fanana na quartz sema diamond ni gumu
Jiwe ni neno ambalo kila linapotumika linaleta maana tofautiGumu kuliko jiwe
Tofauti kama vipi??Jiwe ni neno ambalo kila linapotumika linaleta maana tofauti
Katavi ni jina la kijiji fulani lkn nimesahau kiko wapiVipi hali yako Katavi?
Wapi palee.. Nadhani Mkoani Mara kama sijakoseaKatavi ni jina la kijiji fulani lkn nimesahau kiko wapi
Sijakosea kabisa kukuchagua ww kuwa rafiki yanguWapi palee.. Nadhani Mkoani Mara kama sijakosea
Vipi hali yako Katavi?
Mizengo pinda alishawahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzaniakatavi kule kwa mizengo pinda?
Tanzania hii ndio unapatikana we mrembo?Mizengo pinda alishawahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania
Mrembo ndio anapatikana Tanzania ya hapa kazi tu.Tanzania hii ndio unapatikana we mrembo?
Mrembo ndio anapatikana Tanzania ya hapa kazi tu.
Matumizi ya internet haswa kwa watanzania yanaongezeka kwa kasi kubwa.kazi tu msemo wa magufuli mzee wa kubana matumizi
Matumizi ya nukta za uandishi ni muhimu saana.kazi tu msemo wa magufuli mzee wa kubana matumizi
Kubwa jinga lipo tu linabun'gaaaMatumizi ya internet haswa kwa watanzania yanaongezeka kwa kasi kubwa.
Linabun'gaa hadi linasahau lilichokuwa linafanya awali.Kubwa jinga lipo tu linabun'gaaa
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii adhimu ni wa krimu wote wake kwa wame hasa wale wenye vitambi mtepwetoLinabun'gaa hadi linasahau lilichokuwa linafanya awali.
Vitambi mtepweto ndo vipi tena hivyo Daby?Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii adhimu ni wa krimu wote wake kwa wame hasa wale wenye vitambi mtepweto