Poleni jamani kwa kuwa wavumilivu hadi muda huu ambao nitatangazwa mshindiKusudi haiambiwi pole
Kusudi la huu uzi ni kupatikana mshindi ila kuna watu wanakiuka mashartiKujisahaulisha ameshazowea, sa sijui ni umri umekwenda au anafanya kusudi
Masharti yenyewe hata sio magumu nashangaa watu yanawashinda vipi..Kusudi la huu uzi ni kupatikana mshindi ila kuna watu wanakiuka masharti
Vipi kama hii post yangu ndiyo ikawa ya mwisho?...Masharti yenyewe hata sio magumu nashangaa watu yanawashinda vipi..
Ya mwisho ni hii hapa..Vipi kama hii post yangu ndiyo ikawa ya mwisho?...
Mwisho mshindi atapatikana kwa mtutu wa bundukiVipi kama hii post yangu ndiyo ikawa ya mwisho?...
Hapa? Kwanini isiwe pale?...Ya mwisho ni hii hapa..
Bunduki kama wanazotumia alshabab?...Mwisho mshindi atapatikana kwa mtutu wa bunduki
Alshabab ni kundi la kigaidi lenye makazi somaliaBunduki kama wanazotumia alshabab?...
Alshababi ni kikundi cha waasi kule nchini SomaliaBunduki kama wanazotumia alshabab?...
Somalia inakaribia kufutika kwenye ramani ya dunia...Alshababi ni kikundi cha waasi kule nchini Somalia
Somalia inakaribia kufutika kwenye ramani ya dunia...Alshabab ni kundi la kigaidi lenye makazi somalia
Dunia ni yetu sote, wababe na wanyonge, matajiri na maskini nakadhalika.Somalia inakaribia kufutika kwenye ramani ya dunia...
Nakadhalika ni aina ya neno gani katika lugha ya kishwahili?Dunia ni yetu sote, wababe na wanyonge, matajiri na maskini nakadhalika.
Nakadhalika ni Msemo unaoashilia msemaji kachoka kutaja ndipo anapoamua kumalizia kwa mtindo wa kina BashiteDunia ni yetu sote, wababe na wanyonge, matajiri na maskini nakadhalika.
Bashite yule wa koromije?Nakadhalika ni Msemo unaoashilia msemaji kachoka kutaja ndipo anapoamua kumalizia kwa mtindo wa kina Bashite
Nadhani tuanze na neno hili kwanza: kishwahiliNakadhalika ni aina ya neno gani katika lugha ya kishwahili?
Koromije? Koromije! Koromije kumejipatia umaarufu mkumbwa kutokana na kumtoa kilaza wa taifaBashite yule wa koromije?
Taifa letu limegawanyika hakuna uzalendoKoromije? Koromije! Koromije kumejipatia umaarufu mkumbwa kutokana na kumtoa kilaza wa taifa